Mind Game
Senior Member
- May 17, 2021
- 140
- 86
Sasa hivi nakoma kivyangu mkuu maana naona huko mtandaoni kila mtu anawinda ya mfukoni kwa mwenzake🤣 🤣 🤣 amna kaka we mfuate utakua tajiri kama yeye
Sasa hivi nakoma kivyangu mkuu maana naona huko mtandaoni kila mtu anawinda ya mfukoni kwa mwenzake🤣 🤣 🤣 amna kaka we mfuate utakua tajiri kama yeye
nlivoona unakaza fuvu nkasema baba wewe nenda sisi tutajua tunazika ama tunasafirisha!Mkuu nikuombe radhi kwa kukaza fuvu nimegundua naye TRADER MIKE ni mwizi kama majizi mengine ya CCM.
Maana haimake sense hata kidgo unashow big profit then unataka hela ya mtu mwingine akulipe 149$ kufundisha huo ni wizi na utapeli
Kwahiyo sasa nitakomaa kivyangu naachana na upepo wake feki
Na mimi ngoja nimfuate inbox aniambie kwanini anatoza hela watu tena hela ndogo kiasi kile ukilinganisha na profit anazodai kupataView attachment 3330875
treda maiko sapong
hio ndo life style yao mkuu, ata mtu akushawishi kiasi gan hakikisha anachokihubiri alisema before kuingia kwenye trade other wise anatafuta tu ngombe wa kukamuaSasa hivi nakoma kivyangu mkuu maana naona huko mtandaoni kila mtu anawinda ya mfukoni kwa mwenzake
Hence, forex=bettingForex ni skill na inachukua muda kujifunza mpaka kufikia mafanikio ila forex bila maarifa ni betting
ndo maisha yao hayo mzee, wapo wengi wana majina kabisa! utaoona kakodisha gari 🤣 🤣 yaani mpaka unapangikaNa mimi ngoja nimfuate inbox aniambie kwanini anatoza hela watu tena hela ndogo kiasi kile ukilinganisha na profit anazodai kupata
Hi Mike,ndo maisha yao hayo mzee, wapo wengi wana majina kabisa! utaoona kakodisha gari 🤣 🤣 yaani mpaka unapangika View attachment 3330887
Nisharuka naye DM tayar nasubir blockhio ndo life style yao mkuu, ata mtu akushawishi kiasi gan hakikisha anachokihubiri alisema before kuingia kwenye trade other wise anatafuta tu ngombe wa kukamua
Unakomaa na kamari acha ujinga Tanzania tunatengeneza vizaz vya vya wakamaria kwa hali hiiSasa hivi nakoma kivyangu mkuu maana naona huko mtandaoni kila mtu anawinda ya mfukoni kwa mwenzake
Ww unadhani iyo $149 ukipata wajinga Kama 1000 wenye tamaa ya kupata hela laini anazo $149,000 ambazo hazina jasho unadhani hata ni wazungu wanaoishika hii hela kwa mwakaHalafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yule
Kabisa mkuu kwenye hili gemu asilimia kubwa ni majiziii yaliyoshindikanaWw unadhani iyo $149 ukipata wajinga Kama 1000 wenye tamaa ya kupata hela laini anazo $149,000 ambazo hazina jasho unadhani hata ni wazungu wanaoishika hii hela kwa mwaka
- Sawa mkuuForex ni betting 100%
---Hapa nime_bet lotsize 0.01, BTCUSD infanya retracement, MN, W1 chart zote ni Bullish
https://www.forexfactory.com/thread/post/15162442#post15162442
Mkuu mbona kama na ww umekuja na gia ya upigaji tena kulikoni kwenye hii Industry kila mtu anawinda mwingine amkwide roba ya dollar 💰 kadhaaUkiangalia chart yangu juu kulia kuna "ManualTradeManager_ATR_Trailing_1 " | Kazi ya hii tool ni kuhakikisha kila trade unayofungua inakuwa na SL and TP., Na pia hufanya TRAILING stop profit inapofikia kiasi ulichoweka.
- Waweza download for FREE hapa:
View attachment 3331036Code:https://www.forexfactory.com/thread/post/15162442#post15162442
---
Kwa wale wenye uhitaji:
- Je una stratergy yako na unahitaji ifanyiwe coding either kupata indicator au EA, basi usisite kuwasiliana nami.
- Natoa huduma ya coding kwa ghrama nafuu. Waweza angalia kazi zangu FOREXFACTORY, Ninadikie PM hapa JF au Forexafctory ili tufanye kazi.
- Huu ni mtazamo wako. Ni haki yako.Mkuu mbona kama na ww umekuja na gia ya upigaji tena kulikoni kwenye hii Industry kila mtu anawinda mwingine amkwide roba ya dollar 💰 kadhaa
https://www.forexfactory.com/thread/post/15242837#post15242837
https://www.forexfactory.com/thread/post/15241451#post15241451
- Achana na mawazo hasi, Achana na mawazo mgando, Kuwa positive, Amka toka usingizini, Fanyia kazi ulichojifunza kutokana na reply zangu.mwingine amkwide roba ya dollar 💰 kadhaa
we jamaa hautokagi tu mwaka wa 20 sasa toka jamii forum imeanza unfukuzia faida ya $6- Huu ni mtazamo wako. Ni haki yako.
Iko hivi:
Unafungua hii thread na kuweka request yako
- Ninatrade
- Nina code Indicator na EA for free iwapo utaomba in public
- Paid iwapo unataka huduma ya private:Code:https://www.forexfactory.com/thread/post/15242837#post15242837
---
Hapa Chini nakuwekea ushahidi wa FREE coding servirce na PAID coding service:
<Free coding service>
- Post shida yako hapa kisha nitag:
View attachment 3331047Code:https://www.forexfactory.com/thread/post/15241451#post15241451
---
<Paid service>
Kwa wale wasio hitaji FREE service hunifuata chemba kwa Paid VIP service:
- Customer from UK:
View attachment 3331050
---
Wenye uhitaji hunifuata PM nadhani unaona nimepokea request zaidi ya 200+
View attachment 3331053
- Achana na mawazo hasi, Achana na mawazo mgando, Kuwa positive, Amka toka usingizini, Fanyia kazi ulichojifunza kutokana na reply zangu.
Ni kweli mkuu?hio ndo life style yao mkuu, ata mtu akushawishi kiasi gan hakikisha anachokihubiri alisema before kuingia kwenye trade other wise anatafuta tu ngombe wa kukamua
I started levelling up when stopped accepting excuses I made for myself.eti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyewe