Habari,
Baada ya kujifunza biashara ya forex kwa mda usiopungua miaka 8 hadi sasa bila mafanikio.
Nimeona njia sahihi ya kufanikiwa katika biashara hii ni kupata watu sahihi wenye uzoefu na wenye mafanikio halisi katika biashara ya forex.
Nakuja kwenu wana jamvi kwa yoyote aliye tayari kuwa mentor au coach anakaribishwa kunishika mkono ili kunivusha katika biashara hii.
Nb: nina uelewa wa wastani wa biashara hii.
Nawasilisha.