Forex vs Betting

Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Namfuata ndiyo nitachukua nitakachoona kinanifaaa kwenye safai

Leta na shikamoo hapa siku nikibutua nikukumbukue kwa upuuzi wako
eti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyewe
 
Utuliee wewe kwenye maisha unijiita unajua forex ushawahi kutana na mtu Kama MIKE muwazi kila kitu kama lissu vile .
Haya cheki loss yake ya juzi hapo
Ndo ukae chini ujiulize kwnini yuko willing kuonesha loss anazopata kitu ambacho ni kigumu kwa wengine
Mi naamini inawezekana kwasababu MIKE kaweza . Kwahiyo issues zako za impossible baki nazo ww
 
Attachments

  • Screenshot_20250511-111235.png
    Screenshot_20250511-111235.png
    109.2 KB · Views: 14
Utuliee wewe kwenye maisha unijiita unajua forex ushawahi kutana na mtu Kama MIKE muwazi kila kitu kama lissu vile .
Haya cheki loss yake ya juzi hapo
Ndo ukae chini ujiulize kwnini yuko willing kuonesha loss anazopata kitu ambacho ni kigumu kwa wengine
Mi naamini inawezekana kwasababu MIKE kaweza . Kwahiyo issues zako za impossible baki nazo ww
🤣 🤣 🤣 ilo swala la mike nshakwambia we fanya, sisi tutaamua tunasafirisha ama tunazika
 
eti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyewe
Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki
 
🤣 🤣 kwamba kuonyesha loss ndo kwamba yuko legit? ivi una akili wewe? sisi tuliodeal na haya mambo miaka ya kutosha sheria ni ile ile, your credible before a trade happens not after a trade happens! anything outside this is pure bullshit
 
Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki
alafu punguza kelele nenda kwa mike utakua kama yeye sawa eeh?
 
Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki

View: https://x.com/tradermike1234/status/1876568182741467281
nenda kwa mike utapata hela za kutosha sawa eeh
 
🤣 🤣 🤣 ilo swala la mike nshakwambia we fanya, sisi tutaamua tunasafirisha ama tunazika
Na nilishakwambia Round hii tunasafirisha ingia Twitter (X) search TRADER MIKE ukipata case yoyote kwamba ni mpigaji share nasi hapa ili tutambue kuwa kumake profit kwa Mt5 haiwezekani. Bila hivyo maana yake unachokihubiri ni matokeo ya imani yako ww binafsi kuwa huwez ila sio kwa wengine
 
sasa mike na mm nan anaijua forex zaidi?
 
Yes nitakuwa
Mwambie huyo trader mike atoe investor password Kama yeye ni mwanaume.
Huyo anaishi kwa kufundisha watu. Aonyeshe withdrawal iliyoingia Bank.
Ama muulize atoe investor password utaona atakavyokutoa kwenye group.
Huyo nilimchanaga muda Fulani zamani akani block.
Wanataka kondoo ,hizo anazotumia ni mbinu zile zile kuwa sipendi kufundisha Ila ngoja niwasaidie
 
Halafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yule
 
🤣 🤣 🤣 amna kaka we mfuate utakua tajiri kama yeye
 
Halafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yule
1746958835268.png

treda maiko sapong
 
View attachment 3330851

hii hujaiona ama unavunga
Mkuu nikuombe radhi kwa kukaza fuvu nimegundua naye TRADER MIKE ni mwizi kama majizi mengine ya CCM.
Maana haimake sense hata kidgo unashow big profit then unataka hela ya mtu mwingine akulipe 149$ kufundisha huo ni wizi na utapeli
Kwahiyo sasa nitakomaa kivyangu naachana na upepo wake feki
 
Back
Top Bottom