Mind Game
Senior Member
- May 17, 2021
- 140
- 86
Hamna cha hard way kama hujui na hutaki kujua itakua hard wayYou will learn the hard way
Hamna cha hard way kama hujui na hutaki kujua itakua hard wayYou will learn the hard way
nshakwambia mm naijua forex kuliko ata huyo mike, sasa kwa kua unapenda ubishi kafanye utakua kama yeye una hela nyingi, sawa eeh?Hamna cha hard way kama hujui na hutaki kujua itakua hard way
sasa wewe unajiona mtu? unaelekezwa kitu miaka 6We fala kweli nani dogo
we kafanye kijana usijielezeeeeeeeeeeeeee sana! unachelewa fursaKuna sehem umeshawahi kuona anampigia debe broker fulani? Screenshot hapa
We unaleta ujuaji mwezako yeye ana make hela na kupoteza. Angekua fake basi tungeskia MIKE anauza signal mara link kwa mabroker mara kauza robots lakini kote huko humkutinshakwambia mm naijua forex kuliko ata huyo mike, sasa kwa kua unapenda ubishi kafanye utakua kama yeye una hela nyingi, sawa
mm nadhan wala tusiongee sana ila nkuhakikishie lazima ulie, ata uongeze uchawii!Yes mi mjinga lakini ukinipa sehem ambayo huyo jamaa naye anawapiga watu hela kutoka mifukoni mwao mi nitatulia
as i said YOU WILL LEARN THE HARD WAY kama apa utashindwa kujifunzaWe unaleta ujuaji mwezako yeye ana make hela na kupoteza. Angekua fake basi tungeskia MIKE anauza signal mara link kwa mabroker mara kauza robots lakini kote huko humkuti
Leta ushahidi kama umeona kuna sehem yule jamaa anademand hela kutoka kwa wengine kupitia hizo njia za kihuni acha kulia liawe kafanye kijana usijielezeeeeeeeeeeeeee sana! unachelewa fursa
haitasaidia kama nlichoelezea umeshindwa kukiweka serious, na wala spo apa kukuangia matumizi ya ela yako!Leta ushahidi kama umeona kuna sehem yule jamaa anademand hela kutoka kwa wengine kupitia hizo njia za kihuni acha kulia lia
we lazima ukubali jambo ambalo huliwezi basi usifikir ni the same kwa mwingine yeye MIKE kawezaje hiyo miaka kumi naeusheeas i said YOU WILL LEARN THE HARD WAY kama apa utashindwa kujifunza
One last article to help you: Can Forex Trading Make You Rich?Leta ushahidi kama umeona kuna sehem yule jamaa anademand hela kutoka kwa wengine kupitia hizo njia za kihuni acha kulia lia
Hamna kitu umeshidwa kufanya utulie sio kuwakatisha wengine tamaahaitasaidia kama nlichoelezea umeshindwa kukiweka serious, na wala spo apa kukuangia matumizi ya ela yako!
this will help you mbelen: The Truths about Fore
nshakwambia na narudia tena, mtu pekee utakaemuamini ni ambae utakua na maongezi nae BEFORE trade sio AFTER trade, usipoelewa na hio baswe lazima ukubali jambo ambalo huliwezi basi usifikir ni the same kwa mwingine yeye MIKE kawezaje hiyo miaka kumi naeushee
Hizi article ziko kibaoo lakini still baadhi yao wanashine out pamoja na ugumu uliopo kwahiyo acha kukariri madesa,
amna anaekupangia cha kufanya, sisi tushafanya zaidi ya unachotaka kufanya for the longest years and tunajua whats behind, kuchukua ushauri ni juu yakoHamna kitu umeshidwa kufanya utulie sio kuwakatisha wengine tamaa
aya mfuate na wewe kila mwezi utakua unaingiza ela kama yeyeHizi article ziko kibaoo lakini still baadhi yao wanashine out pamoja na ugumu uliopo kwahiyo acha kukariri madesa,
Kwa taarifa yako huyo MIKE kwa wiki anApigwa loss kibao tu lakini mwisho wa mwezi Netprofit yake inasoma positive
Utaliaa ww acha kuleta mizimumm nadhan wala tusiongee sana ila nkuhakikishie lazima ulie, ata uongeze uchawii!
Namfuata ndiyo nitachukua nitakachoona kinanifaaa kwenye safari yanguaya mfuate na wewe kila mwezi utakua unaingiza ela kama yeye
aya tajiri mtarajiwaUtaliaa ww acha kuleta mizimu