hapana! online sio trading ni gambling, maana yake price ikishuka unapoteza ela unayoweza kufanya exchange, wa byuro anayo exact amount always na amenunua hizo pesa kwa bei ndogo anakuuzia wewe kwa bei kubwaSasa shida iko wapi maana ya hii ya mtandao inakuwa on the spot quickly reaction.Small movement watu wanapata hela kwenye difference in price.
Ok ndo tunataka tuone kwenye hiyo Gambling katika trade 10 tunapata trade ngapi zikifika 2 tu ujue it's businesshapana! online sio trading ni gambling, maana yake price ikishuka unapoteza ela unayoweza kufanya exchange, wa byuro anayo exact amount always na amenunua hizo pesa kwa bei ndogo anakuuzia wewe kwa bei kubwa
usijjielezee sana, wewe ingia mzigonOk ndo tunataka tuone kwenye hiyo Gambling katika trade 10 tunapata trade ngapi zikifika 2 tu ujue it's business
Si unaona nimeingia mkuu mkuu kutest mitambo tena uzuri nimeingia before price move kwahiyo tuone hiyo mitambousijjielezee sana, wewe ingia mzigon
Risk rewards ya Gold Nimeweka 1:8 means lose 10$ upate 80$usijjielezee sana, wewe ingia mzigon
Shida yako iko hapo kwenye kuloose ndo unachanganyikiwa hujui kuwa the Best loser Wini.hapana! online sio trading ni gambling, maana yake price ikishuka unapoteza ela unayoweza kufanya exchange, wa byuro anayo exact amount always na amenunua hizo pesa kwa bei ndogo anakuuzia wewe kwa bei kubwa
daaah mzee unajielezea sana!Shida yako iko hapo kwenye kuloose ndo unachanganyikiwa hujui kuwa the Best loser Wini.
Ni namna tu ya kuweka uwiano sawasawa
ata ukita weka 1: 100Risk rewards ya Gold Nimeweka 1:8 means lose 10$ upate 80$
Kwa edge ninayo test mkuu minimum ni 1:5 kabla ya kuanza kubreak even we huu mziki umekushinda mkuu uwezo wako wa kuhimili mdgata ukita weka 1: 100
Nako kumbe kajiziiii kakutupwaa nimekuta kanauza signal kameshindwa kuzitumia kenyewe katengenez more money ,uhuni mtupuunajua tushakuelezea sana, sasa imebaki wewe kuingia ulingo na kufanya maamuzi yako binafsi maaana ata nkikuelezea vp bado utaniona muongo
Note the date mrejesho nitaweka hapa 24 December 2025 . Nilichokutana nacho huko palipokushinda ukabaki unalia liadaaah mzee unajielezea sana!
Duuu watu wapigaji huku kishenzi first 100 personal ndo wanaotakiwa kutoa 150$.usijjielezee sana, wewe ingia mzigon
🤣 🤣 wewe kwa saahv punguza maneno ingia mzigon piga pesaKwa edge ninayo test mkuu minimum ni 1:5 kabla ya kuanza kubreak even we huu mziki umekushinda mkuu uwezo wako wa kuhimili mdg
amna mkuu wewe ingia, sisi tukikwambia apa unaona kama hatuna akili ndo maaana nakwambia ingia mzigon piga elaNako kumbe kajiziiii kakutupwaa nimekuta kanauza signal kameshindwa kuzitumia kenyewe katengenez more money ,uhuni mtupu
Kila mtu mwizi hukuuu kutrade watu wanaona kugumu mwendo wa mentorship ndo wanaharibu hawa
ingia mzigon ndo utapata experience apa ata tukikuelzea vp kama hujaamua kuelewa utakua mbishi ivo ivo ndo maana nkakwambia ingia mzigon ili baadae ukiwa unaongea uongee from experienceDuuu watu wapigaji huku kishenzi first 100 personal ndo wanaotakiwa kutoa 150$.
Hiyo 150$×100=15000$ kwa hela za madafu million 40
Kama nakuelewa hivi huu utapeli wa kiwango cha SGR
Mkuu natest kwanza mitambo kwenye demo utulie mkuu wewee roho ndogo pamekishindaamna mkuu wewe ingia, sisi tukikwambia apa unaona kama hatuna akili ndo maaana nakwambia ingia mzigon piga ela