Forex vs Betting

Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Mkuu stake high research yangu inaonyesha sasa kuwa uwezekano wa kutoboa kwenye hii Carrier upo ,sio kama unavyoaminisha ila shughuli yake mpk utoboe ndo pevu kweli kweli.
 
Betting ni mchezo wa kubahatisha....it is not a sure event.
 
Mkuu stake high research yangu inaonyesha sasa kuwa uwezekano wa kutoboa kwenye hii Carrier upo ,sio kama unavyoaminisha ila shughuli yake mpk utoboe ndo pevu kweli kweli.
🤣🤣🤣 sisi kama ulivokutakia all the best before! you will learn the hard way
 
I started levelling up when stopped accepting excuses I made for myself.

Trading broke me down mentally before it made me.

I knew I was going to be a successful trader.
Never doubted it. Even when I didn’t know how.

I knew multiple profitable traders personally. I knew what was possible. I also knew how hard they worked.

I decided to work harder. I decided to work longer hours. By my calculations if I put in more hours I would get to my goals at a more efficient pace. It worked.

The results I was wanting was in the work I was avoiding.

It is a hard game. Don’t let anyone tell you any different. But it’s also possible to achieve great things in this game.

Others before you have done it. You can too. Don’t think any different. Put in the work.
stupid words 🤣 🤣 🤣 🤣 ! izi zote kuonyesha watu kwamba wapo serious na forex, mm nakupa shortcut NO ONE CAN MAKE A LIVING FROM FOREX, exchange rates are there to be used for international trade na nchi sio kupata ela! lakini pia its better ukaingia maaana ata nkikuelezea utaona kama sna akili, wewe ingia sisi tupo apa
 
Mkuu we kabishi
 
stupid words 🤣 🤣 🤣 🤣 ! izi zote kuonyesha watu kwamba wapo serious na forex, mm nakupa shortcut NO ONE CAN MAKE A LIVING FROM FOREX, exchange rates are there to be used for international trade na nchi sio kupata ela! lakini pia its better ukaingia maaana ata nkikuelezea utaona kama sna akili, wewe ingia sis
Nitaleta mrejesho hapa tarehe 24 December 2025 Mungu aendelee kutupa pumzi
Kwahiyo mkuu note vema hiyo tarehe tajwa hapo juu kutakua na MREJESHO konki kwelii kwelii iwe nimebutua au nimebutuliwa sitasita kuweka mrejesho hapa nilichokutana nacho
 
sawa kijana
 
stupid words 🤣 🤣 🤣 🤣 ! izi zote kuonyesha watu kwamba wapo serious na forex, mm nakupa shortcut NO ONE CAN MAKE A LIVING FROM FOREX, exchange rates are there to be used for international trade na nchi sio kupata ela! lakini pia its better ukaingia maaana ata nkikuelezea utaona kama sna akili, wewe ingia sisi tupo apa
Kwahiyo wale wanaoshika maburugutu nje nje pale tunduma boda kuuza kwacha wanafanya bure bure?
Maana nao wanawawezesha watu kupata exchange pale
 
hio inaitwa FOREX EXCHANGE sio FOREX TRADING
 
Na ndo biashara pekee yenye faida, sio wa mpakani tu na benki wanafanya ama byuro! biashara nzuri sana ila iko limited na kiasi unachoweza kubeba!
 
Mkuu we muongo sana vipi na haka kabint 21 years ila kutupiga gepu kwelii kweli kanafanya trading ww unayobisha.
Japo niko namfutalia nione kama hachaji hela nae ila kwaa research ya haraka hatozi
 
Attachments

  • Screenshot_20250512-122015.png
    Screenshot_20250512-122015.png
    489.3 KB · Views: 18
Mkuu we muongo sana vipi na haka kabint 21 years ila kutupiga gepu kwelii kweli kanafanya trading ww unayobisha.
Japo niko namfutalia nione kama hachaji hela nae ila kwaa research ya haraka hatozi
unajua tushakuelezea sana, sasa imebaki wewe kuingia ulingo na kufanya maamuzi yako binafsi maaana ata nkikuelezea vp bado utaniona muongo
 
Mkuu huenda ww sio muongo ila kwa vile hujawah kutanana live na mtu aliyetoboa huko ambaye hana makandokando, kama vile VIP signal sijui, robots kuuzza.
Binafsi mkuu natabirii kuwa huenda ulijaribu kufanya ukaishia kushenyentwa kweli kweli sababu ya uwezo wako kuwa mdg kwahiyo ubongo wako ukajenga Image mbaya kuwa ni IMPOSSIBLE
 
Na ndo biashara pekee yenye faida, sio wa mpakani tu na benki wanafanya ama byuro! biashara nzuri sana ila iko limited na kiasi unachoweza kubeba!
Sasa shida iko wapi maana ya hii ya mtandao inakuwa on the spot quickly reaction.Small movement watu wanapata hela kwenye difference in price.
 
Wiki hii mkuu nataka nitabiri gold kuwa itamove hapo ilipo sasa kwenye price ya 3323.00 ipande mpka 3415.00

Nataka nifanye hivi kwa trade kumi tu japo ni demo manana natest mitambo
 
Attachments

  • Screenshot_20250512-124736.png
    Screenshot_20250512-124736.png
    85.4 KB · Views: 21
Back
Top Bottom