stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,913
- 14,675
we endelea amna anaekushika miguuMkuu natest kwanza mitambo kwenye demo utulie mkuu wewee roho ndogo pamekishinda
we endelea amna anaekushika miguuMkuu natest kwanza mitambo kwenye demo utulie mkuu wewee roho ndogo pamekishinda
Note the date 24 /12/2025 utapata mrejesho🤣 🤣 wewe kwa saahv punguza maneno ingia mzigon piga pesa
ata ukitaka utrade for the rest of your life, you dont need kutuambia mark the date because we know the resultsNote the date 24 /12/2025 utapata mrejesho
Sasa unaona ulivyolisha ubongo wako vitu negative about this trading issue.ata ukitaka utrade for the rest of your life, you dont need kutuambia mark the date because we know the results
nshakwambia forex halisi naijua na ata ukitaka tuweke pesa chini wewe tu, ukitaka tuweke ml 4 kama bond mpaka dember wewe tu,Sasa unaona ulivyolisha ubongo wako vitu negative about this trading issue.
Yani tayar una matokeo wakati hata process sijaanza.
Ndo Maana nakwambia ukishindwa kitu kaa kimya wapo wanaoweza
MREJESHO siku hiyo ndo utamua nilichokutana nacho kuwa nitrade for rest au vipi lakini ww kwasababu ya kimbelembele unajiona una matokeo tayari.
Note huwezi kuweza kila kitu kimekushinda unatulia sio kuja na ngojera za BOT, BOT.
freshMkuu hii ni trading (betting) forex price.kwahiyo utulie tukutane tarehe tajwa hapo juu.
IMEKUSHIDA WEWE BINAFSI,SIO WOTE.
Trading is a lonely gamefresh
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Trading is a lonely game
Family may think you're wasting your time with a pipe dream
"Friends" may clown you
Everyday normal folks that are not in the game will believe you're just a gambler
But you're not
You're tapped in
You found out where the money is
And the fact that most normal everyday people are not taking this seriously
Is how you know this is how you get rich
The path less traveled is always the correct path
kijana unajikuta sha ru khan ama amita bachanTrading is a lonely game
Family may think you're wasting your time with a pipe dream
"Friends" may clown you
Everyday normal folks that are not in the game will believe you're just a gambler
But you're not
You're tapped in
You found out where the money is
And the fact that most normal everyday people are not taking this seriously
Is how you know this is how you get rich
The path less traveled is always the correct path
Kama hutojali nitumie link ya hilo group la huyo mwambaNa kaanzisha group lake huko Whatsapp naona atakamata sana vichwa panzi
This guy he is a scammer(From TMT to now)