Forex vs Betting

Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Basi Acha sisi tuendelee kumake profit kwa kitu ambacho hakipo mkuu
pia, usihangaike kila sku kujilaumu sjui market makers, Risk reward au emotions, the market is just as it is and wasnt created for people to make money bali kubalance mahesabu ya benki kuu
 
itsnot about believing its about facts:
View attachment 3236180
Acha ujinga na kukosa maarifa... Forex trading is a skill, same principles zinazotumika kwenye other financial markets (stocks, futures, options.... etc) zinatumika kwenye forex.

The so called "betting" uliyoenda google huko, you don't just bet out of nowhere, you make "SKILLED BETTING"

Otherwise acha kuniquote unanipotezea muda
 
pia, usihangaike kila sku kujilaumu sjui market makers, Risk reward au emotions, the market is just as it is and wasnt created for people to make money bali kubalance mahesabu ya benki kuu
Kila mtu abaki na anachoamin
 
Acha ujinga na kukosa maarifa... Forex trading is a skill, same principles zinazotumika kwenye other financial markets (stocks, futures, options.... etc) zinatumika kwenye forex.

The so called "betting" uliyoenda google huko, you don't just bet out of nowhere, you make "SKILLED BETTING"

Otherwise acha kuniquote unanipotezea muda
🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than that
 
🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than that
Kweli sijui ni nini wanachokataa hawa
 
Miaka ya hivi karibuni kumezuka biashara tofauti tofauti za mitandaoni ikiwemo cryptocurrency, forex na online platform za kuingiza fedha

Naomba kujua je kushiriki katika biashara hizi huweza kusababisha shida ya afya ya akili na kupelekea kua uraibu au addiction na mtu kushindwa kuachana na hii biashara ata kama ina leta hasara kwake?
 
🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than that
Ukibet ikapand unapata hela? au matikiti maji
 
Miaka ya hivi karibuni kumezuka biashara tofauti tofauti za mitandaoni ikiwemo cryptocurrency, forex na online platform za kuingiza fedha

Naomba kujua je kushiriki katika biashara hizi huweza kusababisha shida ya afya ya akili na kupelekea kua uraibu au addiction na mtu kushindwa kuachana na hii biashara ata kama ina leta hasara kwake?
Mim nilifanya biashara ya mawe ya makilo na tani ( not game stone) kipindi kabla ya MAGUFULI...mpaka Leo nipo addicted siwezi kufanya kazi nyingine

Nimefanya sport betting na forex
Kwangu Bora forex naliwa nikijielewa hamna hamna napata kifuta machozi
 
Tofauti forex unaliwaa ka dollar na unaliwaa parefuuu sanaa ndani ya sekunde mojaaa tuuu.. ila wote ni upumbavuuu.
 
Mim nilifanya biashara ya mawe ya makilo na tani ( not game stone) kipindi kabla ya MAGUFULI...mpaka Leo nipo addicted siwezi kufanya kazi nyingine

Nimefanya sport betting na forex
Kwangu Bora forex naliwa nikijielewa hamna hamna napata kifuta machozi
Forex nimefanya sana toka 2018 niko second year hadi 2023 natoka mtaani naweza sema ilinisaidia kiasi chake kuishi kitaa kwa comfortable life.
Kipindi hiko napiga pesa nimeandika nyuzi nyingi humu kuhusu Forex inasifa zote pasi nakutia shaka za kuwa kamari.
Jaribu kuichinguza vizuri utakuja kugundua muda ukishaenda sana.
 
Sasa hivi nikiona clear chance naweka pesa , napiga faida natoa naenda kula raha.
Sio kama zamani nilikuwa napoteza muda eti kutrade full nikiwa namatumaini ya kuwa millionaire.
2021 nakumbuka nilirudi hadi home nikabomoa nyumba yote home nikafanya marekebisho nilikuwa naona utajiri huu hapa.
 
Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.

Probability: Outcome is either you win or lose.

Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.

Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.

Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
Hata betting pia nayo siku hizi unaweza kufanya yote hayo.🤣
 
likewise ukibet timu ikishinda unapata matikiti maji
We mshikaji unazingua ujue kwenye hii betting ya forex kuna kitu kinaitwa EDGE .
Hapa kwenye EDGE Ndo msingi wa kupata hela unapatikana kwasababu iko hivi umefanya trades let's say 50 tu .
Kati ya hizo 50 umekosa trades 30 na kila trade moja uliyokosa you get constant lose ya 10$. 10×30=300.
Na katika hizo trade 50 unapata trade 20 tu na kwa kila trade ukipata unaenda ratio ya 1:3 kwa maana 10:30
Kwahiyo trade ikienda poa unapata constant profit 30$ sasa hapa inakua
20×30$=600$
Ukichukua jumla ya trade 30ulizokosa ni 300$loss na trade 20 ulizopata umegain 600$
Fanya kutoa hapo 600$ profit -300$loss= unabaki 300$ Kama net profit kwenye jumla ya trade hamsini ulizochukua kwahiyo shida hapo ni kutafuta EDGE yako ndo mziki upo hapo na psychology kuapply hiyo edge kikamilifu
 
Back
Top Bottom