elisanto
Member
- Dec 15, 2016
- 44
- 15
Tutoleeni huko unashindwa kuweka vitu hadharani hapa
OkTutoleeni huko unashindwa kuweka vitu hadharani hapa
1. Trading Plan
2. Importance of Discipline
3. Momentum + Session times +
4. EMA retests + Wick fills
Hapo kuna trendline pamoja na supply and demand zones.mkuu iyo ni set up ya nni trending au fibs
WWooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Wazee wa kupiga promo....naona mmehamia na huku pia.... Haya bnh wazee wa kutumia fursa ndo muda wenu ila zingatieni utu na hiyo bunduki yenu itaua watuWWooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Haudownload demo playstore. Unadownload trading platform, ambayo utaiunga na demo uliyoregister kwa WEBSITE YA BROKER uliyemchaguaWakuu naomba kuelekezwa namna ya kudownload demo account maana nimetumia playstore kudownload jp market na fxtm ila sijaziona kwenye application yangu
Mkuu nashukuru ila trading platform si ndio hizi mt4 na mt5Haudownload demo playstore. Unadownload trading platform, ambayo utaiunga na demo uliyoregister kwa WEBSITE YA BROKER uliyemchagua
Ndio. Ila tumia mt4, broker wengi bado hawajasupport kutumia MT5Mkuu nashukuru ila trading platform si ndio hizi mt4 na mt5
hakuna rangi nzuri kama ya bluu
ha ha truehakuna rangi nzuri kama ya bluu
wakati watu wengine wanatamani weekend isiishe forex traders wanatamani wajikute wapo kesho. Mungu anawazoomoohhhh wikiendi isha basiii we want to kila this sucker
surewakati watu wengine wanatamani weekend isiishe forex traders wanatamani wajikute wapo kesho. Mungu anawazoom
what kind of business is that?mtajiunga sana vijana na mtaliwa sana na mtapoteza hela nyingi.
sijui kwanini watamzania ni wajinga kiasi hiki ndomana muda mwingine Mh Raisi aongoze nchi hata milele tu maana sio kwa kuendekeza huu ujinga.
Biashara za ku unga unga watu ni za kuibia watu maana ww mjinga unatoa hela kufaidisha wachache ambao wako juu ya chain. ila bado mijitu inang'ang'ania tu.
mtu hata kuwasha na kuzima computer huwezi halafu unajidanganya utaelewa biashara za Fedha.
ni ndoto hizo.