Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
2df1eed73e2d00ac099e8d909605a97d.jpg

Join the Best Entire Winning Squad in Tanzania
+255MillionairesFX
 
TUMIA WEEKEND YAKO KUPATA MADINI KATIKA FX
Hint:
  • Andaa notebook+Peni kabla ya kuanza kutazama hii video
  • Jipe break kila baada ya lisaa, japo dk15, then endelea, Presentation yote ni masaa manne (4)

Baadhi ya vitu utakavyojifunza kwenye hii vido
1. Trading Plan
2. Importance of Discipline
3. Momentum + Session times +
4. EMA retests + Wick fills

NB: Iwapo una video bora inayohusu FX , Share video hio kupitia hii thread, ili na wengine waweze kujifunza. Ahsante
 
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kudownload demo account maana nimetumia playstore kudownload jp market na fxtm ila sijaziona kwenye application yangu
 
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kudownload demo account maana nimetumia playstore kudownload jp market na fxtm ila sijaziona kwenye application yangu
Haudownload demo playstore. Unadownload trading platform, ambayo utaiunga na demo uliyoregister kwa WEBSITE YA BROKER uliyemchagua
 
mtajiunga sana vijana na mtaliwa sana na mtapoteza hela nyingi.
sijui kwanini watamzania ni wajinga kiasi hiki ndomana muda mwingine Mh Raisi aongoze nchi hata milele tu maana sio kwa kuendekeza huu ujinga.
Biashara za ku unga unga watu ni za kuibia watu maana ww mjinga unatoa hela kufaidisha wachache ambao wako juu ya chain. ila bado mijitu inang'ang'ania tu.
mtu hata kuwasha na kuzima computer huwezi halafu unajidanganya utaelewa biashara za Fedha.
ni ndoto hizo.
 
what kind of business is that?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom