Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ni vyema ungevi-attach hivyo vitabu ambavyo ww umesoma ili tuweze kujengeka kiakili zaidi.

Hii comment naomba nisaidiwe asee
 
Jamn mimi ndo nmeanza kusoma huu uzi kidogo kidogo ila nmeona ni wa muda kidogo nmeona muhusika anasema alikua na mpango wa kufungua ofisi kashafanikisha?
Kitambo sana boss , saizi yupo mbioni kufungua ofisi mikoani
 
Promo? Anyway, cdhani kama twaish mtaa mmoja, labda ukisema tz moja
Isiwe kes mkuu , ila amin tupo mtaa mmoja maana nimefwatilia sana hizo code toka tempeler, tickmill na papperstone nimeona ni zile zile unazotuma mtaa Wa 7
 
Safi mkuu mimi nafanya study ya hii kitu

sasa hivi naparactice demo account

kutoka kwa broker paperstone wa Autralia

japo kuna vitu sivielewi ....lkn nataka

nianze na dola 3000 nikifungua real account

Demo akaunti haikupi uhalisia wa mambo mengi sana

Pili kuna kimbembe cha kukutana na scam Forex brokers
 
Boss! Great minds discuss ideas not people. Boss let's discuss ideas.

Boss mimi namfahamu SB si kwa kusikia maneno ya watu, nimekaa kanisani kwake and I see him metre chache kutoka nilipo. Huyu ana waumini mil 20+ duniani kote, wote hao ni wapuuzi kumfata?! Again kwa mafanikio aliyonayo ni jambo la ajabu sana akose maadui, na kitu maadui wanaweza kumfanya SB ni kumchafua jina.
Watanzania shirikisheni bongo lasivyo mtaibiwa sana. Wanaigeria wamemaliza dunia kwa wizi na sasa wanatoa mafunzo kwa vitabu kupitia kwa wafuasi wao kote africa. Chungeni sana visenti vyenu. Forex haina tofauti na kamari inaenda kwa exchange rate ya dola waachieni hao wenye pesa za kuchezea kamari nyie wenye pesa za kusotea kaeni pembeni mwangalie mchezo unavyo kwenda.
 
Najishangaa hii thread naiona Leo ....too bad! But k hope sijachelewa...
  • Jitahidi usome neno kwa neno hii thread na comment zake
  • Download vitabu na anza kujisomea
  • Kisha jipange kushiriki mafunzo
upload_2017-12-24_9-23-50.png


Pia pitia na hizi thread
Baada ya kupitia thread zote hizo hakika utakuwa mtu tofauti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom