Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Gud.. Demo ni muhimu... Then unaweza trade cent kabla ya kwenda standard account...
Sawa mkuu hakuna mtu ananifundisha zaidi ya kujisomea mwenyewe

kwenye internet na research, nikikwama nitakuwa nawaconsult

kibishi hivyo hivyo....naamini kuna siku tutakuwa Top ForexTraders

Mkuu thanks kwa uzi huu, NGOJA NIANDIKE KWA CAPITAL LETTERS~UKIANZA TU ANZA NA MIMI, baada ya kumaliza elimu ya chuo nilipata kufwatilia sana hii kitu pamoja na kudownload videos za huyu youngest millionaire SANDILE SHEZI kwa wakat huo cjui kwa sasa, na kusoma sana baadh ya APPS zilizopo play store kwa kujifunza, ilinibid nipractice sana kwny demo account kwa kutumia BINARY OPTION~IQ option things was running smoothly but kutokana na research zang nikakutana na baadh ya comments zikisema BINARY its a SCUM nkasita kudeposite ili nideal na real account.

Ni kitu ambayo bado ipo kwny damu and good enough nilikuw nakutana na platform zngne lakin walikuw wanadai THERE IS NO CURRENT BROKER IN UR COUNTRY. Also nilijaribu kucontact na ''ETORO" via email nikijua as the among of the best brokers but nikaona kuna umuhimu wa Elimu zaid juu ya kuijua hii kitu.

As you said hili swala linafanyika kwa kificho sana I was so surprised wakat IQ option wananiambia wana 12,000 Customers from Tz huku nikiwa sijawah kusikia hii kitu ikiwa promoted in either way hapa nchn,
Thnks 4 coming bro I will be in touch with this thread ili Twende sawa.

LET ME ADD SOMETHING ON MY COMMENT HERE.
Baada ya kucomment hapo juu I got several in box texts watu wakitaka kuijua hii business, it shows watu wameipokea kwa mikono miwil let me welcome yu nitakusaidia pale nlipo na experience napo kwa muda mrefu so you may ask here or in box whatever nitakujbu.
Mkuu mimi ni mchanga sana kwenye biashara ya FOREX ndo nimeisikia leo,sijui chochote kuhusu hiyo biashara ila nimekuwa very interested nayo!!.... Naomba nipe highlights pamoja na steps za kujiunga nayo ili angalao nipate mwanga kidogo tu niweze kujua wapi pa kuanzia na wapi pa kuishia!!

So much appreciations to you mkuu!!
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png

Tickmill No Deposit Bonus
End Date: 31 Dec 2017
Available: Only New Clients.
Amount: $30
Profit Withdrawable: Yes

84203b1dd5745d850f9c17134d51a7fe.jpg

Get free kickstart!

Tickmill | Get $30 No Deposit Bonus (Direct Link)

if you have registration problems, check me...

You can trade without verifying any documents, but you will have to verify when you need to withdraw your profit...

Tickmill No Deposit Bonus
End Date: 31 Dec 2017
Available: Only New Clients.
Amount: $30
Profit Withdrawable: Yes

84203b1dd5745d850f9c17134d51a7fe.jpg

Get free kickstart!

Tickmill | Get $30 No Deposit Bonus (Direct Link)

if you have registration problems, check me...

You can trade without verifying any documents, but you will have to verify when you need to withdraw your profit...
Mkuu asante kwa fursa. Nina swali moja, hivi kwa templerfx unaweza kudeposit kwa pesa. From your mobile to trading A/c.

Ntashukuru kama unatuelekeza deposit and withdraw za templerfx kwa mpesa

Mkuu asante kwa fursa. Nina swali moja, hivi kwa templerfx unaweza kudeposit kwa pesa. From your mobile to trading A/c.

Ntashukuru kama unatuelekeza deposit and withdraw za templerfx kwa mpesa
Yes.
Menu > finance > deposit > choose account to fund > select Ipay Africa > MPESA Tanzania > amount in $ (without $ sign) > tap deposit.
And follow the instructions in the opened page.

If you not in TemplerFX yet:

Templer FX | Trade cent and standard accounts

Wale wanotaka kutoa hela kwa mpesa bas templer ni broker pekee anaeruhusu kutoa na kudeposit kwa mpesa..ni chap tu

https://secure.templerfx.com/login?rid=106853

Pita hapo kweny hiyo link...
<br / nilitoa hela ya mboga tu na hii ni miamala niliyo tumiwa via mpesa
e9adc50fd5f2a8b6a2c89da652b05bb1.jpg

Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.

Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.

Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.

Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao

Ulidraw kupitia njia gani? Bank wire au Nettler/skrill/paypall?

Mimi natumia Bank transfer kwa pepperstones ni siku 2 tu, Kwa JP markets ni masaa 4 tu

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom