Forever Living!

Forever Living!

suala co wengine wanaichukuliaje................suala ni ww mwenyew coz maisha ni ya kwako huish kulingana na wngine wanaonaje jambo fulan, unaonesha ni jins gan ulivo na akil ndogo kk, mpk kila mtu aseme ndio na ww ndio ufanye, kwa attitude hyo nafikir maisha yataendelea kuwa magumu kwako.

Sio kila unachokiona ww kila mtu atakiona, binadamu tumetofautina sana kimtazamo (kutakana na mazingira, mazoea, experience, knowlegde, etc) kitu kinachopelekea kila mtu kuwa na his/her own personal philosophy.

Ushauri wa bure................fuata instinct na intuition yako, ukisubir wengine wanasema nn hutakaa ufanikiwe ktk chochote kk, mwana wa mungu mwenyew walimpinga na kumuua ndo ije kuwa ww binadam wa kawaida.

Unafikir ni kwa nn 3% tu ya watu dunian ndo wamefanikiwa???..................wameweza kuckiliza mioyo yao na co mawazo ya wengine. Mzee Mengi na Bakhresa wangewasililza watanzania wengine wanasema nn kuhusu biashara wanazotaka kuzifanya, nafikir leo wasingekuwa hapo walipo.

In short unahtaj mentoring sana ndugu.........sion dalili yoyote ya ww kuish maisha mazur, utalipa bill tu hapa dunian then urud mavumbin coz hujui kwann umezaliwa.

Mtafute mtu anaitwa Nick Vujicic google usome historia yake na mambo anayoyafanya,jamaa hana mikono wala miguu lakn anajielewa, ww naamin una kila kitu lakn hujitambui
 
Mabagala i hope uko vzur,

Huyu mpuuz anadai toothpaste lak moja na kitu, ww ni mtumiaj hebu mueleze.

Na cjamwambia ajiunge lakn cjapenda upotoshaj wake wa wazwaz huku hana facts zozote, zaid ya blah blah za vijiwe vya kahawa!!!
 
Sisemi haya kwa akili za kushikiwa but that is what it clearly is..!!
Wee piga debe weee ila watu waliojiunga na kutumia rubbish zenu wana haya ya kusema.., Mnawachukualije forever living products?
 
Mimi kujiunga siwezi ila ni mteja wa bidhaa zenu kama sabuni, toothpaste, aftershave, nk nk
Hata wewe ni msukule kwa kununua ostentatious goods.., yaan binadam wanatabia ya kutaka kununua vitu vya hali flani ili kuji tofautisha na wengine hata kama hivyo vitu havina chochote cha ziada.., mfano wewe hapo..
 
Mkuu mimi sinunui sababu ya bei, napenda tu kuzitumia kama wrwe unavyopenda kutumia sabuni kama protex au dettol, sinunui sababu wewe unatumia. Aliyenambiw nifanye hii biashara nilimwambia sina muda ila anaweza akaniuzia nikala mwenyewe
 
Hongera..!!.., tutaiga mfano wako mzuri.., vipi na wewe ulipungua uzito ndani ya siku 9 kwa shs. laki 3..??!
 
Enos Salema
Enos+Salema.jpg

Jamaa namkubali sana nilipiga nae kazi vodacom jamaa mshiko anao maana kanunua gari Discovery4 mpya pale posta na pia ana ghorofa moja na yupo around 30yrs....FLP nzuri Keep it up Big Sam
 
Last edited by a moderator:

Pyramid scheme ni nzuri sana kwa mafarao walio juu.., sijakataa kabisa hili na wal silipingi..
 
FRANCIS DA DON Big Sam

Wakuu,

Kuhusu Pyramid Scheme naomba nitoe ufafanuzi kidogo hapa..

Kila kitu kwenye maisha yetu ni Pyramid Scheme. Kwanzia familia, Serikali, makampuni tunayofanya kazi na mambo yote.

Kwenye familia ukiangalia babu zetu wazamani ndio wametengeneza ukoo ulioposasahivi na ndio tunatumia last name zao mpaka leo hii. Serikalini yes Raisi ndio king wa pyramid scheme ndio anayelipwa kuliko wote. Na kwenye makampuni makubwa ndio maisha yalivyo. Bosi wa juu anapata mara 200X ya mshahara wa mwajiri wa chini kabisa. Inamaana sikuzote aliyejuu kwenye serikali au makampuni ndio anayeweza kula zaidi. Sasa tukisema FLP ni Pyramid scheme, sawa inamaana kila kitu pia ni hivo hivo.

Utofauti wa Network marketing na Pyramid Scheme ya Serikalini au Makampuni makubwa ni kwamba hata ufanye kazi vipi sio kigezo cha wewe kulipwa zaidi. Leo hii Enos anapata pesa nyingi kuliko yule aliyemuingiza yeye. Na miaka miwili inayokuja, waliopo chini yake wengi watatengeneza pesa nyingi kuliko yeye. Kila mtu ana nafasi sawa kwenye network marketing kuweza kufika kule juu.
FRANCIS DA DON Unahaki kabisa ya kufikiria hivo unavyofikiria na hii inatokana na kuwa na experience tofauti ya hivi vitu. Lakini Forever ingekuwa Pyramid Scheme leo hii kila mtu angekimbilia huko na kupata hizo pesa za haraka haraka.

Tatizo ninaloweza kusema kuhusu FLP ni kwamba mwanzo wakati inaanza watu walikuwa hawana elimu wala uelewa wa jinsi FLP inavyofanya kazi. Watu walijua ni get rich quick scheme. kweli watu waliuza nyumba wanunue productts wawe managers waanze kupokea 2.5m kila mwezi. Pasipokujua kwamba unahiaji kukuza network yako ili yenyewe iweze kujiendesha. Na watu wa mwanzo hawakuwa na elimu kuhusu Network marketing kabisa. Walikuwa wanakosea mpaka wakati wakuuza wanawaambia watu bidhaa za FLP ni dawa, wakati ni virutubisho. And yes wapo watu wameacha dawa za hospitali wakijua bidha za FLP ni dawa kama za hospitali na wamepoteza maisha. Hii yote ni elimu mbovu iliyokuwa hapo mwanzoni.

Lakini mambo ni tofauti sasa, watu wana uelewa na wanajua jinsi bidha zinavyofanya kazi. Watu kama Enos wana invest muda wao mkubwa sana kutoa elimu na kufundisha downliners wao na ndio inawasaidia wao kufanya vizuri. Huwezi sasa hivi ukaingia FLP na ukaanza kutembeza dawa za mswaki barabarani. Kitu ambacho hakiwezekani kabisa.

Na pia kuhusu bidhaa na bei, ni swala tuu la ubora. Ni kama mtu moja kunywa Konyagi na mwingine Pushkin Vodka. Japo zote ni Vodka lakini ubora na viwango vitu viwili tofauti. Sasa wewe unaweza kusema huwezi kununua dawa ya mswaki kwa 13,000, lakini wapo vijana 50,000 kesho kutwa watalipia 30,000 kama kiingilio tuu getini kwenda Fiesta na wakiingia huko wanakunywa pombe na nyama. Wapo ambao kila weekend wanakwenda maisha club na kiingilio ni 10,000 hapo hujaweka usafiri wala chakula. Tusiwaseme kwamba watu hawana hela ya kununua dawa ya mswaki ya 13,000. Kama ina ubora na mtumiaji ameona ubora wake, atanunua tuu. Sasa ni kazi ya FLP kuhakikisha sikuzote ubora wa hiyo dawa na vitu vingine.
 
Last edited by a moderator:
FRANCIS DA DON Big Sam

Wakuu,

Kuhusu Pyramid Scheme naomba nitoe ufafanuzi kidogo hapa..

Kila kitu kwenye maisha yetu ni Pyramid Scheme. Kwanzia familia, Serikali,....., BLAH BLAH BLAH...!
Mkuu sina shaka umetumwa kuja kusafisha huu uozo alio harisha mkuu BIGSAM.., pili pia sina shaka kwamba wewe ni msomi wa hali ya juu sana.., kwa jinsi unavyozungumza utakuwa ni msomi tu..., ila tatizo unaelekeza nguvu za usomi wako in the wrong direction. Mkuu.., hivi kwa akili zako hizo nyingi hivyo.., unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ikamfanya mtu yeyote yule akawa billionea strictly kwa kupata faida kulingana na kazi aliyoifanya ya kuuza food supplements..??! (SIO DAWA!, hakuna dawa hapo ni uongo mtupu!).., Unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ika-survive hata kwa mwaka mmoja tu strictly kwa kuuza bidhaa zake kwa wateja ambao SIO MEMBERS..??! LA HASHA!! Ili FLP iweze ku-survive ni LAZIMA.., Narudia tena ni LAZIMA new members wa kutoa shs.750,000/= wapatikane ili kuweza kulisha walio juu kwenye pyramid (Hawana ujanja mwingine). Na pia ili mtu aweze kuwa billionea ni lazima pamoja na kuuza food supplements pia aweze ku-recruit misukule wapya ili na yeye aweze kupata commission yake kutoka kwenye ile 750,000/= (Hana ujanja mwingine wa kumfanya awe billionea).

MWISHO. ELIMU YAKO HAIJAKUSAIDIA.
 
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu. Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK alienda kula chakula cha jioni na hawa jamaa pale St Gasper. Na leo mchana anahudhuria mkutano wa hawa jamaa pale Dodoma Hotel. Ataomba yana na mawaziri 6. Nasikia Forever living ni wa pili au wa tatu kulipa kodi kubwa serkalini.
Hii imekaaje? Mimi nilikuwa nadhani (na watu wengine wengi) hawa jamaa ni matapeli fulani hivi. Inaelekea shughuli zao ni halali!
Nawasilisha!

Ina maana wanalipa kodi kubwa kuliko makampuni ya sim na yanayochba madini?
 
Mkuu sina shaka umetumwa kuja kusafisha huu uozo alio harisha mkuu BIGSAM.., pili pia sina shaka kwamba wewe ni msomi wa hali ya juu sana.., kwa jinsi unavyozungumza utakuwa ni msomi tu..., ila tatizo unaelekeza nguvu za usomi wako in the wrong direction. Mkuu.., hivi kwa akili zako hizo nyingi hivyo.., unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ikamfanya mtu yeyote yule akawa billionea strictly kwa kupata faida kulingana na kazi aliyoifanya ya kuuza food supplements..??! (SIO DAWA!, hakuna dawa hapo ni uongo mtupu!).., Unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ika-survive hata kwa mwaka mmoja tu strictly kwa kuuza bidhaa zake kwa wateja ambao SIO MEMBERS..??! LA HASHA!! Ili FLP iweze ku-survive ni LAZIMA.., Narudia tena ni LAZIMA new members wa kutoa shs.750,000/= wapatikane ili kuweza kulisha walio juu kwenye pyramid (Hawana ujanja mwingine). Na pia ili mtu aweze kuwa billionea ni lazima pamoja na kuuza food supplements pia aweze ku-recruit misukule wapya ili na yeye aweze kupata commission yake kutoka kwenye ile 750,000/= (Hana ujanja mwingine wa kumfanya awe billionea).

MWISHO. ELIMU YAKO HAIJAKUSAIDIA.

Mkuu FRANCIS DA DON,

Sipo hapa kusafisha chochote. FLP hanihitaji mimi nije kusafisha, Mimi nakuelezea kwa uzoefu wangu. Na pia mimi sio msomi hata wa hali ya juu, ni raia wa kawaida kabisa. Situmi nguvu kuhalalisha ninachoamini kiwe kweli. Upo sahihi kuamini unachoamini na ni sawa kabisa ukiendelea kuamini hivyo.

Hii biashara sio rahisi.. Unahitaji kuwa expert kuweza kutengeneza hizo billioni wanazotengeneza hao ambao tunapewa mifano. Ni kweli unaweza ukatengeneza billioni kwa kutumia hizo suppliment (and yes sio dawa). Ila billioni haitengenezwi kirahisi hivo, na sio ndani ya mwezi moja au miwili. Unatakiwa ufanye kazi ya kujenga network yako, wape knowledge ya kutosha downlines wako kwa generation tatu na uendelee kuongeza downliners wengine watakaouza hivo bidhaa. Hivi unafikiri mtu yeyote yule anaweza kutengeneza bilioni kwenye biashara yeyote ile tukiacha hii kirahisi? Hamna, ila with hard work yes inawezekana.

Unachoshindwa kujua ni kwamba bidhaa zote ambazo zipo Tanzania za FLP zimekuwa authorized na TFDA. Yes serikali imezipitia na kuzipitisha inamaana serikali inajua kila kitu FLP inachofanya, ipo ina operate kwa miaka 8 sasa, sio kitu kinachokuja kufungwa na serikali leo au kesho. Hiyo sahau kabisa. Bidhaa zake ni bora hiyo haina mjadala tatizo ni kwamba wauzaji wengi hawana elimu ya kuuza hizo bidhaa, wanazipa sifa ambazo hazina. Watu wanadhani ni dawa.

FLP inaweza kuservive ndio kwaababu watumiaji wa bidhaa ni wengi kuliko wanachama. Inamaana sasa hivi FLP inaendeshwa na non members kama consumer wa bidhaa. Hivi unafikiri members ndio wana consume hizo products zote zinazouzwa kila siku wenyewe? Hakunaa.... watumiaji wa products ni wengi mnoo ambao sio members kabisa. FLP ipo alive for 30 years na biashara yao ni products, tena hasa za aloe vera.

Kingine ambacho naona huelewi ni kwamba, wewe ambaye ni upline unachukuwa percentage kwa generation 3 deep basi. Haiendi zaidi ya hapo. Tunasahahu kwamba kuna watu wanatumia dawa ya mswaki kila mwezi wana order, wengine aloe vera gel kila mwezi wanazitumia na products zao zingine 200. Repeated costomers wapo kibaaao. Sasa unafikiri new recruite ndio inaleta hela pekee? hela inakuja pale mtu anapofanya mauzo mazuri na sio kila mtu utakaye mrecruite atafanya mauzo mazuri. Inamaana kama ukiingiza watu kumi na wote hawafanyi chochote kila haijalishi wamenunua vitu vingi kiasi gani wewe upline wake biashara yako inakufa. Sasa hii zote sio kazi rahisi.

Narudia tena. Hii sio biashara ya kukufanya bilionea kwa mwezi moja. Lakini unaweza kuwa bilionea kwa kuuza hizi "suppliments"
 
Kwa hiyo ndio unasemaje sasa.., kwamba hii ni pyramid scheme au la.., maana sijelewa chochote ulichosema hapa.., WHATS UR POINT??!
Hivi we hujiulizi kwanini hawafungui duka lolote popote pale ili liende sambamba na hii Supposed MLM yao..??!
 
The Don naomba upeleke haya madai yako mahakaman, maana kwa maelezo yako FLP icngekua hapa ilipo!!!

Ww endelea kubwabwaja huku wadau wanakamata fursa!!!

Ntarud kesho kutoa ufafanuz wang wa mwisho kabisa!!!
 
Nakusubiri.., ila wewe unatapika uharo tu hapaa.., kaa ukijua hilo.., Ingekua suala la kuwapeleka mahakamani serikali ingeshafanya hivyo zamani..., ila haiwezi kwa sabau mfumo wenu wa wizi umefanikiwa ku-bypass all laws and regulations na in-principle hamvunji sheria.., but in-reality ni wezi na matapeli wakubwa. labda tusubiri katiba mpya itasemaje juu ya pyramid scheme as complicated as FLP.
 
Enos Salema
Enos+Salema.jpg

Jamaa namkubali sana nilipiga nae kazi vodacom jamaa mshiko anao maana kanunua gari Discovery4 mpya pale posta na pia ana ghorofa moja na yupo around 30yrs....FLP nzuri Keep it up Big Sam

Jamaa namfahamu alipiga computer science udsm yupo smart.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom