Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

Bakhresa alishakataa Mali zake kuhesabiwa
Kwanza siyo muaminifu na bakhresa (chawa wake) yupo radhi kuua biashara yako ili yake iendelee.

Mfano; baharini, yaani chawa wa bakhresa wanahonga kwa manahodha wa boat nyingine ili wazitie chumvi vife vyake viendelee kuwepo, hataki ushindani, but kwenye mpira kachemka kakutana na magwiji Yanga na Simba!.

Juzi alikuwa radhi kumuaribia bwana mdogo Feisal, kisa pesa!.
 
Una ugomvi/bifu na bakhresa!?
 
Basi hapa watakuja watu kusema ni pesa za urithi na kwamba eti Bakhresa na Mengi ndio matajiri self made

Kwanza watu wanakosea sana kumfananisha Mo na kina Bakhresa kwa sababu hawa sio rika moja, kama tunataka kumfananisha Said Bakhresa basi tumfananishe na Gulam Dewji, Baba yake Mo ambaye naye ni self made hao ndio rika moja

Mo anatakiwa afananishwe na Watoto wa kina Said Bakhresa kama akina Yusuph ambao ndio rika moja na ambao obviously nao utajiri wao ni wa kurithi toka kwa Baba zao hawa
 
Kwani Mo na CR7 nani ana hela?
Samatta na diamond nani ana hela?
Imebid ni Google

Mo anapesa kuliko CR7

CR7 net worth 2022 accordnig to forbes ni 490 mollion dollars

Mo 1.5 billion dollars....

Na kwa macho tu MO ana pesa kuliko Bakharesa angalia bidhaa za MO kagusa kila idara bila kusahau ye ndio anaingiza BOXER PIKIPIKI hapa bongo.....

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
If you keep your business private they cannot estimate how much money you have, they can't add you to the list. .
The less data/information you give to the public, the less likely they will find out that you are rich..!
Hii ni kweli kabisa kuna watu wapo low key sana ila Wana 💰
 
Matajiri wa Kweli Afrika Mashariki wako UGANDA.

Mie sio fobz na sijatumia vigezo vyao vya Utajiri.

Kitaeleweka.
Hongera bwana Mo. Usisahau tulipotoka. Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom