For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Ahsante Karucee mi nimeanza wiki hii mazoezi baada ya kuanza kushindwa kabisa kutoa dozi kwa wifi yako, kitambi kimekuwa kikubwa nimekipiga picha na kukitangazia vita hasa. saa hizi ni asubuhi jioni uwanjani.
 
La,:mwaaah: mi nataka wanne lakini namueshimu waifu tu, sitaki kumuudhi, maana ile kitu alieumba kamaliza.
 
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...

badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa

We nae uliua!!
 
La,:mwaaah: mi nataka wanne lakini namueshimu waifu tu, sitaki kumuudhi, maana ile kitu alieumba kamaliza.

Hivi, is your comment related to this thread?
 
"Can't Raise A Man"

Cant raise a man
Mmh mm
Ahh ah ah ahhh ah ahhh ah ah ahh

Listen,
He got older, but never grew,
For his life he can't tell the truth.
How to love he ain't got a clue,
Playing games like he'll never lose you.

Try to talk to him, can't get through,
Every day he's a different dude.
These are the signs of a grown ass boy,
Better run for the hills,
I'm just trying to keep it real.

You can't raise a man.
He's already grown, what you gonna do?
You wonder why he acts like a boy.
It's 'cause he wasn't raised right before you
Girl, you ain't never gonna change nobody,
If he don't wanna, you can't make nobody.
'Cause you can't raise a man, no, no.

Coming home any time at night,
Expecting you to let it ride
How many tears are you gonna cry?
Playing games like he'll never lose you

You know that the love is changed,
How many times he called you out your name?
These are the signs of a grown ass boy,
Better run for the hills,
I'm just keeping it real.

'Cause you can't raise a man.
He's already grown, what you gonna do?
You wonder why he acts like a boy.
It's 'cause he wasn't raised right before you
Girl, you ain't never gonna change nobody,
If he don't wanna, you can't make nobody.
You can't raise a man, no, no.

Gonna take more than a miracle to change him, just let him go.
Tell me when will you decide to do better with your life?
If his momma couldn't do it what makes you think
You can train that boy to be a man? It's too late.
Better off letting him go, no matter how hard you try you can't raise.

You can't raise a man.
He's already grown, what you gonna do?
You wonder why he acts like a boy.
It's 'cause he wasn't raised right before you
Girl, you ain't never gonna change nobody.
If he don't wanna, you can't make nobody.
'Cause you can't raise a man, no, no.

Ahh ah ah ahhh ah ahhh ah ah ahh

Can't raise a man

Last edited by a moderator:
Mhhh!!!....naona leo mmu hapako salama sana...wil b back pakitulia...
 
Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!

Ukitongozwa na mwanaume hana pesa ya kukutoa out hutomkubali lazima unataka umchune, akikugegeda uanze kumwambia msululu wa matatizo yakp ooh! Hubby unajua kodi ya nyumba inaisha mwezi ujao hafu baba mwenye nyumba ni mkorofi mara mama anaumwa natakiwa nimtumie pesa, mambo kobao ukiulizwa sh ngapi utataja bonge la dau utasikia naishi vyumba 2 na sebule kodi laki 350000 kwa mwezi ukinipa angalau ya miezi 8 hafu hiyo nyingine utamalizia taratibu.
Acheni kutulaumu wakati ninyi wenyewe ni mafisi
 
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...

badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa

Ni kwelu tutaifanyia kazi lakini si kwa wanaume tu hata mijanajike mengine nayo wakivua nguo papuchi huioni imefunikwa na magozi ya tumbo inabidi uondoe hiyi layer ya mafuta ndio mushughulike.
 
Hahaaa....mie wala hainihusu huu, kamwili kangu very flexible,mazoezi is part of my life, sihitaji kuwa baunsa ila just to be physically fit, wembamba una raha yake bwana..hahaa wale wa mviringo poleni na ifanyieni kazi thread ya #karucee
 
Ni kwelu tutaifanyia kazi lakini si kwa wanaume tu hata mijanajike mengine nayo wakivua nguo papuchi huioni imefunikwa na magozi ya tumbo inabidi uondoe hiyi layer ya mafuta ndio mushughulike.

sawa kabisa matumbo tumbo yanakera sana
 
Nope alichofanya ka create new account leo, akaiita Tanzanian baby ndio maana unaona followers wachache halafu ile nyingine kabadili jina
Hmmmm...watu kwa kuhangaika...... anahangaika nini sasa
Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!
That is a very pointful view...cheers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom