shosti laiti ungelijua sifa anayokupa platozoom ungechekelea mpaka gego la 46!!!!!
Sweetlady anafanya sorting...hujaelewa tu
I smell the MASTER OF ALL GAMES!!!!! Na wasiwasi na huyo GF huenda ni Retired but Extremly Dangerous Pro.(REDP) Yaani ana master every move, she makes. Unaweza dhani you are playing her kumbe she is playing you!!!!!
Kitu kikiwa very PERFECT kinatiaga mashaka,especially kama ni mgeni ndo anatakiwa afanye lots of mistakes!!!!
Labda mashaka yangu tuuu! They are FEW GOOD WOMEN LEFT!!!! LOL!
Eeeeeeeeeh! Kumbe waliambiwa wanaume peke yao ndo wajibu!!!!!!!!!!! Mweeeeeee!
hili ni tatizo kwa kweli hasa watu kama wewe, haumini katika ukweli kwa sababu we mwenyewe hujiamini na hujielewi yani kosa ni mtu kuwa na confidence na mtu wake loooh? halafu ndo nyienyie kesho mnalalamika hamna true love. YOU ARE WHAT YOU THINK
Afadhali Paw angekwambia, si unajua moderator wanajua kuassess
shosti laiti ungelijua sifa anayokupa platozoom ungechekelea mpaka gego la 46!!!!!
Ahsante sana charminglady kwa kulisema hili, kama ningesema mimi huenda King'asti asingeniamini.
platozoom amekufagilia kwa sana, ulitakiwa kum-hug😛hoto:😛hoto:😛hoto: