For Men: Ilishawahi kukutokea?

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Wewe ni mwanaume na umepitia mengi linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi. Kifupi una mengi umejifunza na kuona: Umeumizwa na kuumiza mpaka roho imeingia uyabisi.

Halafu unakuja katika pilipilika za kawaida unapata g/f mpya........Huyu hajawahi kuingia ulimwengu huu wa mapenzi, hajawi kuumiza wala kuumizwa. Kifupi ameona pengine marafiki wakiumizwa na yeye kuishia kuona kama ni jambo tu la kuachana.

Sasa yupo kwako, anakupenda sana na anaona Dunia bila wewe haiwezekani, hafikirii ipo siku ataumizwa. Haoni wala hasikii linapokuja swala kuhusu wewe. Anakuamini kupita hata mzazi wake, na anafanya mengi kwa ajili yako. Na zaidi anaamini huwezi kumdanganya kabisa, ingawa wewe binafsi uongo ina sehemu kiasi fulani katika maisha ya kimapenzi kutokana na uliyopitia.

Wakati mwingine unamuonea huruma.....unafikiri at least awe anaku-doubt hivi ili siku mambo yakiharibika asiumie zaidi. Lakini yeye ndio anazidi kuonyesha namna wewe ulivyo shujaa wake!!

Ndio maana nakuuliza ulishawahi kuyapitia haya? Uliyaendesha vipi haya mahusiano. Vipi yalipovunjika!..........!!
 
I smell the MASTER OF ALL GAMES!!!!! Na wasiwasi na huyo GF huenda ni Retired but Extremly Dangerous Pro.(REDP) Yaani ana master every move, she makes. Unaweza dhani you are playing her kumbe she is playing you!!!!!

Kitu kikiwa very PERFECT kinatiaga mashaka,especially kama ni mgeni ndo anatakiwa afanye lots of mistakes!!!!

Labda mashaka yangu tuuu! They are FEW GOOD WOMEN LEFT!!!! LOL!

Eeeeeeeeeh! Kumbe waliambiwa wanaume peke yao ndo wajibu!!!!!!!!!!! Mweeeeeee!
 
Nisingekuona kwenye huu uzi ningeshangaa lol!!
Kwenye red hapo hebu fafanua kwa nini "few"

Hivi wewe ulipozama haswaa kwa mara ya kwanza ilikuwaje?
 
kwa hiyo mtani mi nisijibu sio?haya bana ngoja ninyooshe zangu njia kuelekea kuleeee uwanjani kwetu!

Usikonde ruksa tu kuzungumzia, nimesema "for men" kama sterling na sio wadadavua mada!
 
Wapo wanaume wengine wanajidai vidume vyako chokoa roho za wadada lakini hawajua wadada ni mashujaa na ma drama
Queen kupitiliza ukiwaanzia wao wanamaliza.....
 
I do not entertain good girls sana, hatuwez endana,,, lazima nimpe changamoto kwanza,,

To be honest nimeshadate na hawa good girls wanaokuganda kila saa,, sana huwa wanaboa kwa kweli.

Unakuta mtu upo kwenye kikao umebananishwa mchana na mabosi zako report ina makosa ye anakupigia simu unapokea ( baada ya kuomba excuse) kujua kulikon anasema I love you please usiniache.. Yaan wanaboa sana.. Mi demu hata akiwa jobless nachukia sana as mda wote anakuwaza wewe tu badala ya kufanya mishe zake...

Mtu kama huyo ningepunguza spidi mdogo mdogo... Maana watakuganda hadi kimawazo anataka kila kitu ashirikishwe.. Unakuta unataka ku jaribu biashara flan ye anapinga eti haitafanikiwa wakati unatumia hela zako na hapo haujamuoa anakuganda kama wife.. maisha yenyewe ya kugandana sana yako wapi nowdays
 
Ni hivi mkuu, hivi ndivyo mimi huanza mahusiano...
Huwa nakuwa muwazi from A to Z, humueleza huyo niliyenaye sasa kila kituo nilichowahi kusimama kuchimba dawa.
Pili, huwa najaribu kueleza kuwa haya ni mahusiano tu ni hatua ya awali kabisa ya kujenga kitu fulani. Mahusiano sio lazima yafikie kuwa ndoa. Kuna vitu inawezekana kabisa kutokuvipenda kuhusu mwenza na vikawa sababu ya hitimisho.

Hivyo mkuu, kuwa muwazi mwanzo ndio dawa ya moyo.
 
I do not entertain good girls sana, hatuwez endana,,, lazima nimpe changamoto kwanza,,

To be honest nimeshadate na hawa good girls wanaokuganda kila saa,, sana huwa wanaboa kwa kweli.

Unakuta mtu upo kwenye kikao umebananishwa mchana na mabosi zako report ina makosa ye anakupigia simu unapokea kujua kulikon anasema I love you please usiniache.. Yaan wanaboa sana.. Mi demu hata akiwa jobless nachukia sana as mda wote anakuwaza wewe tu badala ya kufanya mishe zake...

Mtu kama huyo ningepunguza spidi mdogo mdogo... Maana watakuganda hadi kimawazo anataka kila kitu ashirikishwe.. Unakuta unataka ku jaribu biashara flan ye anapinga eti haitafanikiwa wakati unatumia hela zako na hapo haujamuoa anakuganda kama wife.. maisha yenyewe ya kugandana sana yako wapi nowdays

Kwa hiyo yale malemngo yako ya Drama girl bado yako palepale?
Ila ni kweli sometime ina-bore.............Angalau upate mtu wa "kukuchangamsha" kidogo bana.
 
I do not entertain good girls sana, hatuwez endana,,, lazima nimpe changamoto kwanza,,

To be honest nimeshadate na hawa good girls wanaokuganda kila saa,, sana huwa wanaboa kwa kweli.

Unakuta mtu upo kwenye kikao umebananishwa mchana na mabosi zako report ina makosa ye anakupigia simu unapokea ( baada ya kuomba excuse) kujua kulikon anasema I love you please usiniache.. Yaan wanaboa sana.. Mi demu hata akiwa jobless nachukia sana as mda wote anakuwaza wewe tu badala ya kufanya mishe zake...

Mtu kama huyo ningepunguza spidi mdogo mdogo... Maana watakuganda hadi kimawazo anataka kila kitu ashirikishwe.. Unakuta unataka ku jaribu biashara flan ye anapinga eti haitafanikiwa wakati unatumia hela zako na hapo haujamuoa anakuganda kama wife.. maisha yenyewe ya kugandana sana yako wapi nowdays

Mkuu mbinu ya kumpiga GF exile ni moja ya mbinu nzuri sana ya mwanaume kuwa huru, ni kweli wakati mwingine wadada huwa wanakera maana kwa kuwa wamezoea kubembelezwa na mama au baba zao basi wanahamishia huo upendo kwako, inakeraje!!!
 
I smell the MASTER OF ALL GAMES!!!!! Na wasiwasi na huyo GF huenda ni Retired but Extremly Dangerous Pro.(REDP) Yaani ana master every move, she makes. Unaweza dhani you are playing her kumbe she is playing you!!!!!

Kitu kikiwa very PERFECT kinatiaga mashaka,especially kama ni mgeni ndo anatakiwa afanye lots of mistakes!!!!

Labda mashaka yangu tuuu! They are FEW GOOD WOMEN LEFT!!!! LOL!

Eeeeeeeeeh! Kumbe waliambiwa wanaume peke yao ndo wajibu!!!!!!!!!!! Mweeeeeee!

Kwa Tanzania hakuna; Labda huko kwenye nchi ambazo bado wanaujamaa na kujitegemea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom