for jf guys only: unaweza kupiga bao ngapi

for jf guys only: unaweza kupiga bao ngapi

yaani siredi imevurugwa ikavurugika
ni salama lakini
 
Ndo hapo sasa wanona ukila hizo burger na chips ndiyo umewini maisha mpaka wengine wanaona ukila ugali eti maisha yamekupiga ndiyo maana idadi ya wanawake wanao sagana inaongezeka wanaona wanaume ni michosho tu!

Ndo hapo mkuu Daudi1 maana wanaona unawachafua tuu umeingia hata hujamuandaa kama jogoo na mtetea tayari wazungu washatoka na unasema nimechoka siwezi tena hapo kwa nini mwanamke asikukimbie

Majanga ya generation y.

wanasema ni shidaaaa Karucee
 
Last edited by a moderator:
Hivi kilicho bora ni idadi ya bao au ridhiko la kila mmoja????

images
 
dah kweli nimeamini sasa....ilipokaribia xmas ulikata mawasiliano,baada ya ckukuu kupita ndo umerudi sasa.....dah spare tairi mimi......mpaka wengine wapate pancha ndo nitumike

Heheheeee...looh! Bora nikunyamazie nisimwage mchele kwenye kuku wengi mana....
 
Jamani eeeh, eti fainali ya MAPINDUZI cup kule ZNZ ni timu gani zinacheza?
 
Ndo hapo sasa wanona ukila hizo burger na chips ndiyo umewini maisha mpaka wengine wanaona ukila ugali eti maisha yamekupiga ndiyo maana idadi ya wanawake wanao sagana inaongezeka wanaona wanaume ni michosho tu!

Majanga ya generation y.

Mr Rocky rafiki hii nimeipenda hii safi sana maanake tunachoka jamani looohhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!

Umeona eeeh Blue G tunabadilisha mada ghafla tunaongelea issue nyingine akirudi kwenye uzi wake anakuta story za ajabu hazihusiani na alichouliza
Heri ya mwaka mpya Blue G
 
Last edited by a moderator:
Kama golini hamna kipa nafunga tu hadi mpira uishe labda beki wakabe sana
 
Back
Top Bottom