charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,373
siku nyingi mkuu... sasa chalii utafanyaje lakini any way we piga kazi tu
Ni poa kekuu wacha nsake chapaa aisee.
siku nyingi mkuu... sasa chalii utafanyaje lakini any way we piga kazi tu
Jibu wanalo Yanga. Waulize wanaweza pigwa bao ngapi na Simba. Mara ya mwisho ilikuwa 5-0husika na kichwa cha habari je unaweza kupiga bao ngapi
husika na kichwa cha habari je unaweza kupiga bao ngapi
husika na kichwa cha habari je unaweza kupiga bao ngapi
Mkuu Comrade kuna swali ambalo mpaka leo sijui jibu lake. NI kwanini Interhamwe waliwaua watutsi? kwanini hili swali tunakwepa kila mara kutafuta au kueleza majibu yake?
Hawa jamaa machinjachinja tukielewa akili zao ndio tunaweza kudeal nao vizuri, kila siku tunasema watutsi watutsi watutsi, why are we not talking of interhamwe?
husika na kichwa cha habari je unaweza kupiga bao ngapi
Makubaliano yetu yalikua tukutane pale REST IN PEAC GEAST HOUS,sasa wewe hukutokea. Ulikumbwa na nini?
kwani hapa tumeitwa wanaume tu,wewe umekuja kufanyaje!
rip guest house?mwe!!!!chakufia nini.....
Miss vip tena... mi nliona kama inatuhusu sisi (ME)... sasa inakuwaje we unapiga saba per day..? Hateree! na nyie kumbe mnafunga!!!...
Sasa we ulivoniagiza ulitegemea nini jaman
Unantisha... au nikusajili nini? Embu ngoja nianze "church movement" huenda nikakusajili majira ya baridi....haki sawa kona zote mkuu ... alafu si kwa penati nafunga ya halali
husika na kichwa cha habari je unaweza kupiga bao ngapi
me mzima namshukurU Mungu embu nipe michakato ya huko aisee ...... nimekwama hapa nataka unikope hela upo tayari aisee chalii