Mkuu Asprin Man U kwa sasa ni shidaa ni majanga
Kama una pressure au BP usiende kuangalia mechi ya Man u unawez akufa bure
Wanasema Man u inazidi kushuka chini na huko inaweza kuvumbua oil na gas tusubiri tuone
mnapiga ngapi!mbona hamjibu swali la bwana mdogo
Jamaniiii....... wamesema for guys duh! na hiyo calculation yako ina maan kila siku uko mzigon au plus puchu?
minimum mimi huwa napiga sita per day.
me huwa natoa pasi za mwisho tu kupiga bao mara chache...Ozil
utakuwa pembeni yangu?
Ndiyo maana yake!
Ratiba zako zikiruhusu just inform me nianze mapema kuondoka Kyela kuja Dar!Itakuwa mara yangu ya 2 sasa kufika Dar! Nije kuona tena stand ya Ubungo na yale mataa yake ya barabarani mweee!
Wenye ugonjwa wa kuhama hama Ni mashabiki wa Arsenal,Man U hata tukishika mkia tunahuzunika pamoja.Kwahiyo mashabiki wa Man U tuwakaribishe Liverpool? Sisi huwa hatutembei peke yetu.