Daudi1 maswali gani hayo mkuu ya kuulizana mabao sijui ya mpira wa pete au kikapu au wa miguu au wa volleyball au wa nini mkuuEwaaa! wewe sasa ndo umekuja kumaliza tatzo maana tulitaka tuanze kumrushia mawe muda si mrefu,mimi naendelea vizuri kwakweli sijui kwako mkuu!
Safi sana mkuu maisha yanasonga tunamshukuru Mungu sana
Last edited by a moderator: