EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
nimesmile,sana tu!
af mwili mzima!
Imagination tuu inafanya mwili mzima utabasamu.
nimesmile,sana tu!
af mwili mzima!
ahahahahhahhaha
lol!
ahsante kwa kunifanya sio nismile tuu!NIMECHEKA HASA!
mi mzima dear ,,vipi umehakikisha watoto hasa mama yao wamesmile leo?
endeleza mwaya!
ahahahahahhahahha SAFI!Yaani wameSMILE vibaya sana na hata muda huu nimetoka kuongea nao wanazidi kusmile
Usicheke bana si unajua tena na halafu si unajua mafuta yake huwa naenda kujazia Nairobi naana petrol station za hapa huwa zinachakachua mafuta yao
enheeeeee hiyo hiyo!
enheeeeee hiyo hiyo!
itabidi tukae kama kamati,sawa?
ahahahahhahahahaha hapo juu umewataja pacha wangu na white valentine met wangu so
hakuna tatyizo!
mwaya mi huwa sikai na kinyongo,mi kwangu hakuna kununa bana!lol!
kwa kipi sasa?niache kujifaidia miraha ya hii dunia kisa jana nimeumia!lol!
Mie naona tufanye both Valentine Day and White Day bana.
On Valentine Day unanipa Chocolate kama zawadi.
Halafu on White Day mwezi mmoja baadae (14 March), I will return the favour by buying you two to three times more expensive gifts Natalia has never received. lol
na mpka uniudhi mimi una kazi i see!Hiyo safi sana snowhite maana maisha yenyewe mafupi ukaanze kuweka vinyongo na visasi vya nini bana
Furahi muda wote hata kama kuna mtu kakuudhi wewe muda wote unasmile tuu
aahahahhahahha sasa kwanini nisismile bana! Mr Rocky panda kidau umeona mambo hayo?
ebana poa white valentine it will be na white day ndo mpango mzima!
snowhi9te kuna watu na viatu aisena mpka uniudhi mimi una kazi i see!
ninavopenda hii kitu inaitwa furaha ya ndani,weee,sijui unafikaje kwenye hiyo mipaka !
WE ONLY LIVE ONCE bana oh!
Kuna watu na viatu aise snowhitena mpka uniudhi mimi una kazi i see!
ninavopenda hii kitu inaitwa furaha ya ndani,weee,sijui unafikaje kwenye hiyo mipaka !
WE ONLY LIVE ONCE bana oh!
aahahahhahahha sasa kwanini nisismile bana! Mr Rocky panda kidau umeona mambo hayo?
ebana poa white valentine it will be na white day ndo mpango mzima!
mi nikijua smile langu linakukera ndo nalitoaje!weee!Kuna watu na viatu aise snowhite
Wanapenda muda wote uwe sad na uso umekunjamana na ndio raha yao
hawapendi wewe uonekane na uso wa furaha watajaribu kutafuta namna ya kukuifanya uudhike na watu kama hao ndio wale unaowaona na then unasmile
tabasamu feki tena?Naona kuna kakompetition na Mr Rocky hapa.
Sasa hapa inabidi u make sure that the chocolate is real na siyo feki.
That imetengenezwa kwa mikono yako mwenyewe.
Only these zitakuwa ishara kwangu kuwa, in you, I'm the "only one".
Sitaki tabasamu feki on that day.