Follow the 'facts' to be happy..............

well sijawahi kupoteza mtoto!but sidhani kama sijawahi kufiwa na walio karbu yangu!please dont get too personal
tuliongelee hili kwa ujumla tu!please!usiende huko unakotaka kufika!naomba niwe mtu wa mwisho kukufikisha huko !please!please!I BEG YU!

No usjali ni maongezi tu ..
Nataka tu kukuonyesha kuna vitu mtu
hawezi sahau mpaka siku ya kufa kwake.

Muda utapunguza na labda kuondoa machungu na makali
ya hicho kitu na unaweza kumsamehe alie tenda hilo tendo
lakini kusahau compliantly haitawezekana ..

Ni hayo tu nataka kusema..

at the end of the day

Life goes oooooooooooooooooon..
 
Mkuu wangu nimekusoma na nimekuelewa sana..lakini jambo moja linalopelekea tulione kovu la jeraha kila wakati ni saa zingine hii inatokana na vile ambavyo tumejiset tangu mwanzo....Kumbuka kuna watu wanaishi na kuamini kuwa baadhi ya mambo hayawezi kuwapata..mfano utakuta mtu anajiamainisha kabisa like mwenza wake hawezi kum-cheat milele. Ni sawa kuwa na imani kama hizi lakini kama binadamu lazima tuwe na subira.

Unakuta mtu kama huyu siku yakimkuta anashindwa kusimama na anajiangalia kama aliyeshindwa..kumbukumbu za matukio zinazidi kila siku kumrudia na yeye kwa kuwa hakujiandaa kupokea habari mbya anashindwa kusimama na saa zingine ndo kujiua..Sometimes though it's hard but we should let other things go....Kushindwa KUSAHAU mapema ni dalili ya kuwa HUKUWAHI KUDHANI kama jambo litakutokea ........na linapokutokea basi unalichukulia kama ndo mwisho wa dunia...............

Mkuu SnowBall kuna kukumbuka kwa sababu umeona au umekumbana na same situation kutoka kwa mtu anapokueleza yale aliyoyapitia so sio kukumbuka na kumlaani aliyekutenda ila kukumbuka kuwa ulipita katika similar situation na ulipita vipi na unatoa fundisho kwa mwenzako kuwa pamoja na kuwa wewe unakumbana na haya pitia hapa au fuata maelekezo hay nawe utavuka salama
Kwa wengine SnowBall unajua tena wanapokumbana na matatizo suluhisho huwa ni kujiua au kukata tamaa au kupigana ila ukiwa na wa kumweleza hayo yote utakutana na mtu ambaye amepita huko uliko wewe na akavuka salama bila kujitoa maisha au kukata tamaa
 
Mkuu SnowBall ni kweli kwa wengi inakuwa kwamba hawategemei kuwa kuna siku they will face such challenges in their entire life na ndo maana wanapokumbana na matatizo inakuwa kama wameangukiwa na gunia la misumari na people like that huwa hawasahau hata wafanyeje na hata kama wamesamehe bado kile kinyongo kuwaidha inachukua muda sana
Ila kwa upande mwingine wapo wale ambao walikuwa wanategemea haya kuwa kuna siku yatatokea na wanakuwa wameshajiandaa kabisa kupambana na solution ya hayo wanakuwa wameipata tayari na huwa ni wepesi sana kusamehe na kusahau bila hata kuchukua muda
So kwa upande mwingine mkuu ni kujipa stress za bure iwapo every time unakumbuka yale yaliyopita haswa uwaonapo wale waliokutendea hayo japo at that time unakuwa upo na maisha yako na tena ni mazuri
 
Last edited by a moderator:
S..Smile always (Usiache kuwa na Tabasamu mara zote)

smiles.jpg

Naomba ni-expand hiyo ya ku-smile kama huta-mind. Sababu ni kwamba watu wengi huwa wanataka ku-smile but they can't. Matokeo yake wanaishia kuwa na fake smiles.

Bahati mbaya fake smile makes one miserable, especially if the person is a female. So, don't fake smile and fake happiness. Wanawake ndiyo wanaoathirika zaidi when pretending to be happy. Smiling for the sake of smiling can lead emotional exhaustion and withdrawal.

A genuine smile comes naturally. Lakini hiyo naturalism haiji hivi hivi. Kama unataka kuwa na genuine smile kama ya mtoto mdogo, then kuna mambo ya kufanya. Ukifanikiwa kuyafanya haya, hutakuwa na fake smile tena.

Kwanza, ishi maisha yenye afya. Hakuna kitu kitakufanya ujisikie kuwa na nguvu mwilini kwa kujua kuwa unauheshimu mwili wako. Kwa hiyo, fanya mazoezi, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha na hakikisha unalala vya kutosha.

Pili, stay focused on the positive. Hii iko so obvious but ngumu kweli ku-implement. Kila situation ina positive na negative. Focus on the positive.

Tatu, jiandae kurudi nyuma. Kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Huwezi kuwa na maisha tambarare all the time. Maisha yana ups and downs. So, kuwa tayari and able to step out of the situation and get some air. Taking a step back, clearing your head and getting a fresh perspective, you will be much more capable of manoeuvring through any situation.

Nne, spend time in nature. Epuka kujifungia ndani muda wote. Use different routes unapoenda na kurudi kazini to see the greens and blues. Wanasema what you see is what makes you smile. Kama ni mtu wa kuendeshwa kila siku, jaribu ku-drive mwenyewe. Give your driver a day off. Kama housegirl ndiye anayenda gengeni kila mara, nenda na wewe. The greens and blues there will make you smile.

Tano, saidia wengine. Hakuna kitu ambacho kinanifanya nifurahi kama kusaidia wengine pale ninapoweza. Kuona mtu ana-smile kwa sababu tuu ya nilichomfanyia makes me smile. Serving others and putting their needs above your own is a wonderful way to keep a healthy perspective and show that you care. There is no greater antidote to an unfulfilled life than that of helping others.

Sita, usipoteze utoto wako! Utoto ulio ndani yako ndiyo chanzo cha imagination yako and your innocence that allow for a fresh perspective. Tunapokuwa wakubwa tusikubali kupoteza utoto wetu bana. Instead, we should embrace it as part of who we are and the great asset that it provides. Wote tunajua hakuna genuine smile kama ya mtoto. When a young kid smiles at you, their smile is so genuine that you will smile back hata kama ulikuwa hutaki. That child is still inside you, you just have to let it out.

Saba, kuwa flexible. Muhimu kuwa na plan, lakini kuwa flexible pia so that you can roll with the punches. Life is always going to throw us a curve now and again, but it is up to us to either let it get us down or make the necessary changes to keep moving forward.

Nane, find healthy escapes. Wakati mwingine life is just too much to deal with. We need a place where we can feel safe and are able to think clearly again. Whether it's a hobby, location or just an experience, find that place where you can get away from the trials of life so you can rest and recoup to go back out and hit things head on. Hakikisha it is a healthy escape maana you may escape into those places that are hard to come back from. lol.

Tisa, keep your priorities strait. Don't over focus your mind on things with little importance. Don't complicate things. Keep it simple.

Kumi, shukuru kwa watu ulionao karibu na vitu ulivyo navyo tayari and jinsi ulivyobarikiwa kuwa na hao watu/vitu. Naomba nisizitize hapa: Shukuru kwa kuwa na watu wanaokuzunguka na jinsi ulivyobarikiwa mpaka hao watu/vitu kuwa karibu yako. Always appreciate hao watu and you will never have to live a day without a smile because they will always be there to make you smile.
 
Nimeipenda hii, imechanua vizuri na deep zaidi. Thanks EMT

Sita, usipoteze utoto wako! Utoto ulio ndani yako ndiyo chanzo cha imagination yako and your innocence that allow for a fresh perspective. Tunapokuwa tusikubali kupoteza utoto wetu bana. Instead, we should embrace it as part of who we are and the great asset that it provides. Wote tunajua hakuna genuine smile kama ya mtoto. When a young kid smiles at you, their smile is so genuine that you will smile back hata kama ulikuwa hutaki. That child is still inside you, you just have to let it out.

Saba, kuwa flexible. Muhimu kuwa na plan, lakini kuwa flexible pia so that you can roll with the punches. Life is always going to throw us a curve now and again, but it is up to us to either let it get us down or make the necessary changes to keep moving forward.

Nane, find healthy escapes. Wakati mwingine life is just too much to deal with. We need a place where we can feel safe and are able to think clearly again. Whether it’s a hobby, location or just an experience, find that place where you can get away from the trials of life so you can rest and recoup to go back out and hit things head on. Hakikisha it is a healthy escape maana kuna you may escape into those places that are hard to come back from. lol.

Tisa, keep your priorities strait. Don’t over focus your mind on things with little importance. Don't complicate things. Keep it simple.

Kumi, shukuru kwa watu ulionao karibu na vitu ulivyo tayari and jinsi ulivyobarikiwa kuwa na hao watu/vitu. Naomba nisizitize hapa: Shukuru kwa kuwa na watu wanaokuzunguka na jinsi ulivyobarikiwa mpaka hao watu/vitu kuwa karibu yako. Always appreciate hao watu and you will never have to live a day without a smile because they will always be there to make you smile.
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya fake smile makes one miserable, especially if the person is a female. So, don't fake smile and fake happiness. Wanawake ndiyo wanaoathirika zaidi when pretending to be happy. Smiling for the sake of smiling can lead emotional exhaustion and withdrawal....A genuine smile comes naturally. Lakini hiyo naturalism haiji hivi hivi. Kama unataka kuwa na genuine smile kama ya mtoto mdogo, then kuna mambo ya kufanya. Ukifanikiwa kuyafanya haya, hutakuwa na fake smile tena.

I too always know that there are fake smiles and happiness but i did not know some tips that an individual can follow to come up with a genuine one...thanks for sharing the idea...

Kumi, shukuru kwa watu ulionao karibu na vitu ulivyo tayari and jinsi ulivyobarikiwa kuwa na hao watu/vitu. Naomba nisizitize hapa: Shukuru kwa kuwa na watu wanaokuzunguka na jinsi ulivyobarikiwa mpaka hao watu/vitu kuwa karibu yako. Always appreciate hao watu and you will never have to live a day without a smile because they will always be there to make you smile
Ingawa umeiweka ya kumi but kwangu nimeipenda kama ndo ingekuwa ya kwanza....Unajua watu ndo wanatufanya tukasirike na watu ndo wanatufanya tu-smile...so, ni vizuri as ulivosema kushukuru kwa kuwa na watu walio karibu yako...wakati mwingine unamkuta mtu ana kila kitu but hana furaha..kwa sababu kwake ametanguliza material things kuliko utu..hawaoni wale watu walomzunguka kama sehemu ya furaha yake....nimeipenda hii pia..big up buddy....[/QUOTE]
 
  • Thanks
Reactions: EMT
smiles.jpg

Naomba ni-expand hiyo ya ku-smile kama huta-mind. Sababu ni kwamba watu wengi huwa wanataka ku-smile but they can't. Matokeo yake wanaishia kuwa na fake smiles.

Bahati mbaya fake smile makes one miserable, especially if the person is a female. So, don't fake smile and fake happiness. Wanawake ndiyo wanaoathirika zaidi when pretending to be happy. Smiling for the sake of smiling can lead emotional exhaustion and withdrawal.

A genuine smile comes naturally. Lakini hiyo naturalism haiji hivi hivi. Kama unataka kuwa na genuine smile kama ya mtoto mdogo, then kuna mambo ya kufanya. Ukifanikiwa kuyafanya haya, hutakuwa na fake smile tena.

Kwanza, ishi maisha yenye afya. Hakuna kitu kitakufanya ujisikie kuwa na nguvu mwilini kwa kujua kuwa unauheshimu mwili wako. Kwa hiyo, fanya mazoezi, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha na hakikisha unalala vya kutosha.

Pili, stay focused on the positive. Hii iko so obvious but ngumu kweli ku-implement. Kila situation ina positive na negative. Focus on the positive.

Tatu, jiandae kurudi nyuma. Kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Huwezi kuwa na maisha tambarare all the time. Maisha yana ups and downs. So, kuwa tayari and able to step out of the situation and get some air. Taking a step back, clearing your head and getting a fresh perspective, you will be much more capable of manoeuvring through any situation.

Nne, spend time in nature. Epuka kujifungia ndani muda wote. Use different routes unapoenda na kurudi kazini to see the greens and blues. Wanasema what you see is what makes you smile. Kama ni mtu wa kuendeshwa kila siku, jaribu ku-drive mwenyewe. Give your driver a day off. Kama housegirl ndiye anayenda gengeni kila mara, nenda na wewe. The greens and blues there will make you smile.

Tano, saidia wengine. Hakuna kitu ambacho kinanifanya nifurahi kama kusaidia wengine pale ninapoweza. Kuona mtu ana-smile kwa sababu tuu ya nilichomfanyia makes me smile. Serving others and putting their needs above your own is a wonderful way to keep a healthy perspective and show that you care. There is no greater antidote to an unfulfilled life than that of helping others.

Sita, usipoteze utoto wako! Utoto ulio ndani yako ndiyo chanzo cha imagination yako and your innocence that allow for a fresh perspective. Tunapokuwa wakubwa tusikubali kupoteza utoto wetu bana. Instead, we should embrace it as part of who we are and the great asset that it provides. Wote tunajua hakuna genuine smile kama ya mtoto. When a young kid smiles at you, their smile is so genuine that you will smile back hata kama ulikuwa hutaki. That child is still inside you, you just have to let it out.

Saba, kuwa flexible. Muhimu kuwa na plan, lakini kuwa flexible pia so that you can roll with the punches. Life is always going to throw us a curve now and again, but it is up to us to either let it get us down or make the necessary changes to keep moving forward.

Nane, find healthy escapes. Wakati mwingine life is just too much to deal with. We need a place where we can feel safe and are able to think clearly again. Whether it's a hobby, location or just an experience, find that place where you can get away from the trials of life so you can rest and recoup to go back out and hit things head on. Hakikisha it is a healthy escape maana you may escape into those places that are hard to come back from. lol.

Tisa, keep your priorities strait. Don't over focus your mind on things with little importance. Don't complicate things. Keep it simple.

Kumi, shukuru kwa watu ulionao karibu na vitu ulivyo navyo tayari and jinsi ulivyobarikiwa kuwa na hao watu/vitu. Naomba nisizitize hapa: Shukuru kwa kuwa na watu wanaokuzunguka na jinsi ulivyobarikiwa mpaka hao watu/vitu kuwa karibu yako. Always appreciate hao watu and you will never have to live a day without a smile because they will always be there to make you smile.

i will then give yu a white easter!sawa?
lol!umeidadavuaje vizuri hii!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nimeipenda hii, imechanua vizuri na deep zaidi. Thanks EMT

But are you smiling though?

Me smiling baada ya afrodenzi kunipa like.

Haven't read her for sometimes hasa zile thread zake zake za asubuhi asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
EMT asante sana kwa uchambuzi wako
Yaani umeeleza kwa kirefu na umakini
Asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
I smile deep in my heart when my help to somebody brings positive change in a person's life. It is so rewarding and lasts longer kuliko hata furaha ya orgasm.

But are you smiling though?

Me smiling baada ya afrodenzi kunipa like.

Haven't read her for sometimes hasa zile thread zake zake za asubuhi asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
I smile deep in my heart when my help to somebody brings positive change in a person's life. It is so rewarding and lasts longer kuliko hata furaha ya orgasm.
ah come on!shud yu go this miles?taumwa ghafla mie oh!
 
Ingawa umeiweka ya kumi but kwangu nimeipenda kama ndo ingekuwa ya kwanza....Unajua watu ndo wanatufanya tukasirike na watu ndo wanatufanya tu-smile...so, ni vizuri as ulivosema kushukuru kwa kuwa na watu walio karibu yako...wakati mwingine unamkuta mtu ana kila kitu but hana furaha..kwa sababu kwake ametanguliza material things kuliko utu..hawaoni wale watu walomzunguka kama sehemu ya furaha yake....nimeipenda hii pia..big up buddy....

Kweli. Kuna watu ambao ukiwa kwenye mood mbaya wakianza kuongea tena mambo ya kawaida tuu na kukufanya utabasamu.

Hata humu humu JF, unaweza kuingia na mastress yako unakuta mtu kaandika kimstari kimoja tuu lakini kikakufanya utabasamu.

Pia kujua tuu kuwa you are close to people or people like you when you are around and miss you badly when you away, makes you happy.

Kwa hiyo, ni muhimu ku-appreciate hao watu.
 
umeona enh mama mchungaji!
mi nilimnyima white christmas but i now offer him an easter one!

lol. Yaani wewe ulivyonitupa Christmas acha tuu.

But I stayed positive maana nilijua lazima utafanya mambo Easter.

And now you're talking.
 
au nianze na white valentine kabisa lol!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
sasa?
mi ukishanipa lile vogue ndo boooonge la smile litakuwepo hapa usoni!lol!
hujambo lakini rafiki?

Vogue yangu nimeipeleka kwa fundi london ikafanyiwe service ya kawaida subiri kama mwezi hivi itakuja
Mzima dear snowhite nimekumiss sana
 
Last edited by a moderator:
Vogue yangu nimeipeleka kwa fundi london ikafanyiwe service ya kawaida subiri kama mwezi hivi itakuja
Mzima dear snowhite nimekumiss sana
ahahahahhahhaha
lol!
ahsante kwa kunifanya sio nismile tuu!NIMECHEKA HASA!
mi mzima dear ,,vipi umehakikisha watoto hasa mama yao wamesmile leo?
endeleza mwaya!
 
Back
Top Bottom