Follow the 'facts' to be happy..............

Follow the 'facts' to be happy..............

Ni kweli mkuu naomba niongezee na haya machache:
Forgive and forget.
Think positive towards other.
Help others whenenever you get a chance.

well said!

But linapokuja kwenye suala la KUSAMEHE (forgive) hili neno kulitekeleza ni kazi kubwa saana na yahitaji utayari wa moyo pamoja na kujitoa kwingi.
 
EMT nakuheshimu mkuu hata kuingia kwenye competition na wewe naogopa sana maana ni kama unapambana na mwalimu wako au na kocha wako
hapo nilikuwa nampa tuu taarifa snowhite kwamba naweza kuwa kwenye league asiogope ila EMT you are the one and only huna mpinzani hapo mkuu
fake smile wouh huwa naliona hata ujifiche vipi najua tuu hapa napelekwa chaka mbaya kabisa na kuliko kuwa na fake smile bora usilitoe kabisa
smile smile smile smile smile smile!
lol!umenichekesha sana ulivyonyanyua mikono lol!
 
smile smile smile smile smile smile!
lol!umenichekesha sana ulivyonyanyua mikono lol!

hahahahah snowhite sijanyanyua mikono ila nimekuwa afraid to enter into competition with someone you respect much hainogi inakuwa kama tutaoneana na I dont like that EMT mwache bana ana heshima yake so worry not dear angekuwa mtu kama Arushaone au Erickb52 moto wake usingezimika na hapo ningeonyesha fake smile
 
Last edited by a moderator:

eeneehehhehehe sosi mtu fudenge!
watu mna mambo nyie haya bana!
kumbe watu mna vibonde na vilima vyenu enhe?
 
smile smile smile smile smile smile!
lol!umenichekesha sana ulivyonyanyua mikono lol!

Najua Mr Rocky atakufanya utabasamu sana tuu siku hiyo.

Lakini siku hiyo mie nitakufanya ulie pia hata kama hulii.

I will make you smile with tears in your eyes

Sasa changua moja: kutabasamu tuu au kutabasamu huku machozi yakikulengalenga?
 
Najua Mr Rocky atakufanya utabasamu sana tuu siku hiyo.

Lakini siku hiyo mie nitakufanya ulie pia hata kama hulii.

I will make you smile with tears in your eyes

Sasa changua moja: kutabasamu tuu au kutabasamu huku machozi yakikulengalenga?[/QUOTE]
the later i see!
naendelea kupekua recipe books niipate ya chocolate yenye smile kabisaa!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
the later i see!
naendelea kupekua recipe books niipate ya chocolate yenye smile kabisaa!

Make sure you smile with your eyes though whilst they're in tears.

Last edited by a moderator:
Najua Mr Rocky atakufanya utabasamu sana tuu siku hiyo.

Lakini siku hiyo mie nitakufanya ulie pia hata kama hulii.

I will make you smile with tears in your eyes

Sasa changua moja: kutabasamu tuu au kutabasamu huku machozi yakikulengalenga?

" I will make you smile with tears" Mkuu EMT i love that
Always and in your future life mfanye umpendaye asmile with tears na naamini atakukumbuka sana
Asante mkuu snowhite sio swala la milima na vibonde ila ni suala la heshima tuu unajiweka pembeni unapoona unayemheshimu anafanya mambo yake
 
nimeipenda hiyo ya ............anafanya mambo yake!
 
Ni kweli mkuu naomba niongezee na haya machache:
Forgive and forget.
Think positive towards other.
Help others whenenever you get a chance.

It is possible to forgive. But to forget? I doubt.
 
Mimi naamini hakuna kesho bila leo. Siwezi kufanya maendeleo ya kesho bila kukumbuka na kuzingatia mazingira na matukio ninayopitia leo, lakini kikubwa ni kusamehe na kutotunza visasi moyoni.
 
It is possible to forgive. But to forget? I doubt.

Yeah you got a point dada yangu Kaunga aliniweka sawa forgive na usiweke vinyongo,kuna neno alitumia mi linanishinda ni gumu.
 
Last edited by a moderator:
" I will make you smile with tears" Mkuu EMT i love that
Always and in your future life mfanye umpendaye asmile with tears na naamini atakukumbuka sana
Asante mkuu snowhite sio swala la milima na vibonde ila ni suala la heshima tuu unajiweka pembeni unapoona unayemheshimu anafanya mambo yake

True Mkuu. Kuna watu hasa wanawake hide their tears in their smiles.

That's is not sexy because when a man loves a woman, he sees his world inside her eyes.

Thus, most men would prefer to see a woman not hiding their tears in their smiles, but smiling with tears in their eyes.

That's sexy as well.
 
well said!

But linapokuja kwenye suala la KUSAMEHE (forgive) hili neno kulitekeleza ni kazi kubwa saana na yahitaji utayari wa moyo pamoja na kujitoa kwingi.
Yeah you got a point.
 
It is possible to forgive. But to forget? I doubt.

Kuna views mbili. Moja inasema you must forget in order to properly forgive. Kama hujasahau basi hujasamehe. Utakuwa umesamehe kwa wakati ule tuu, but when the time comes, you will tear away that healing forgiveness and use what was supposed to be forgiven as a weapon of conflict once again.

View ya pili inasema kuwa moja ya sehemu muhimu sana katika kusamehe ni kukumbuka. Kukumbuka kila kitu including the initial events that got forgiven, the process of arriving at forgiveness, and the way forward that was decided upon afterwards.

Which view I second?

I do believe we owe something to someone after we have forgiven them: they are entitled to our unconditional love, even if that love remains only abstract from afar.

Ndiyo maana kwenye post yangu ya mwanzo nimesema kubakia focused on the positive side, iko so obvious but ngumu kweli ku-implement. Kila situation ina positive na negative aspects. Focus on the positive aspects: what you learned from the conflict and move on. In that way, you may end up not only forgiving but also forgetting.
 
Mbona mmenishambulia sana...!!!
A real man never cries bana...hata muirembe vipi!!!
 
Back
Top Bottom