SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Kuna namna nyingi tu kutufanya tufurahi na kusonga mbele na maisha yetu ya kila siku..Hebu kwa leo tushee hii inayoitwa 'FACTS'....hivi ni vifupisho vya maneno ya kiingereza yanayoonyesha hatua za kukufanya ufurahie maisha yako...Mie nimeijaribu 'FACTS' na imenisaidia hebu na wewe ijaribu..
F...Forget the past (Sahau yaliyopita)
A..Accept your Mistakes (Kubali Makosa yako)
C..Cry and move on. (Lia kisha jifute machozi na uendelee mbele)
T..Thank God (Mara zote usisahau Kumshukuru Muumba)
S..Smile always (Usiache kuwa na Tabasamu mara zote)
Unaruhusiwa kuongezea hatua nyingine unzozofahamu nje ya hizi ili na mwingine ajifunze kwako...Unakaribishwa!!!