Follow the 'facts' to be happy..............

Hilo nalo nenooooo.

Kusamehe ni rahisi sana lakini kusahau inatuwia vigumu,
japo viongozi wa dini hutufundisha kusamehe na kusahau,
ugumu unakuja pale ambapo uliyomsamehe unaendelea kumuona,
hivyo anakusababisha ukumbuke lile lililopita.
 
Ndiyo maana sijawahi kujuta kuwa pacha wako..lol
Hebu mtoto wa mama yangu njoo unifafanulie kidogo hapo kwenye wekundu..manake tunaishi kwenye jamii na jamii ndiyo inaamua nini kiwe nini..sasa hapo pa kujiridhisha mwenyewe bila kuangalia wengine kama wamenuna au wamecheka?...loz..mwalimu gfsonwin na wewe njoo unisaidie hapa.......
na miakili yote hii ya pacha wako unajutaaje sasa!
well mi huwa ni mbinafsi kidogo linapokuja swala la kujipa amani na furaha ya moyo wangu!
watu huwa tunashindwa kukubali kuwa hayo mawazo tunayoamini watu wengine wanayo juu yetu wakati mwingine ni tumeyatengenza tu wenyewe kuwa pengine flani ananiwazia haya,na huyu ananiwazia haya kumbe inawezekana waoa hata hayo mawazo unayowaza wanakuwazia hawana!
lakini wat if wanayo?lets say una marafiki 5,huyu anapenda unavyocheza mziki vizuri,huyu anapenda unavyoimba vizuri,huyu anapenda unavyopika,huyu anapenda unavyochekesha,huyu anapenda unavyoandika,wote hawa wanategemea uishi kulingana na vile WAnavyopenda wao!haijalishi kwa kufanya hayo WEWE unajisahau vipi unapenda kusikiliza muziki!
so ufanye nini basi!kuweza kuwaridhissha marafiki zako watano!
ni kwa wao kukukubali vile ulivyo,sio wewe kubadilika vile wanavotaka wao uwe ili wafurahi
wakikuruhusu ufanye kile unachokipenda matokeo yake WOTE WATANO WATARIDHIKA!
kwa vipi,utakaposikiliza muziki being it ni kitu unakipenda,utacheza,utacheka,utaongea,utaandika mashairi,na hata utapika chakula kizuri huku unasikiliza muziki wako!
see?
kumbe basi tusikazaaaane saaa kuridhisha kila mtu na kusahau kuridhisha nafsi zetu!
 
KUSAHAU nakubaliana na wewe kuwa si jambo rahisi sana kulifanya hasa kama jambo husika liligusa mwili na ubongo wako...ingawa mie sio psychologist lakini naamini ziko namna za kufanya kupoteza kumbukumbu mbaya za matukio ya nyuma...kuna familia moja Rwanda walikuwa wanasimulia jinsi walivyoweza kusamehe na kusahau mambo ambayo muuaji mmoja wa kihutu aliwafanyia as a family..najua ni ngumu but inawezekana pia...

sikatai Kusamehe "very easy"..
Kusahau kitu kingine kabisa.

Chukuliwa wat waliopitia mateso wakiwa utotoni hata ukubwani.
mateso kama vile, ubakaji, ukandamizaji, bulling and so on ..

hao watu wanaweza kabisa kuwasamehe walio wakosea.
lakini kusahau itawawia vigumu sana.

maana mtu anaweza kuwa anaangalia tu TV akaona kuna news ya
kwamba huyu alibakwa kabla hajauliwa..

straight away in trigger ile memory ambayo alikuwa anajaribu kusahau ..
 
I got you....well-said

na miakili yote hii ya pacha wako unajutaaje sasa!
well mi huwa ni mbinafsi kidogo linapokuja swala la kujipa amani na furaha ya moyo wangu!
watu huwa tunashindwa kukubali kuwa hayo mawazo tunayoamini watu wengine wanayo juu yetu wakati mwingine ni tumeyatengenza tu wenyewe kuwa pengine flani ananiwazia haya,na huyu ananiwazia haya kumbe inawezekana waoa hata hayo mawazo unayowaza wanakuwazia hawana!
lakini wat if wanayo?lets say una marafiki 5,huyu anapenda unavyocheza mziki vizuri,huyu anapenda unavyoimba vizuri,huyu anapenda unavyopika,huyu anapenda unavyochekesha,huyu anapenda unavyoandika,wote hawa wanategemea uishi kulingana na vile WAnavyopenda wao!haijalishi kwa kufanya hayo WEWE unajisahau vipi unapenda kusikiliza muziki!
so ufanye nini basi!kuweza kuwaridhissha marafiki zako watano!
ni kwa wao kukukubali vile ulivyo,sio wewe kubadilika vile wanavotaka wao uwe ili wafurahi
wakikuruhusu ufanye kile unachokipenda matokeo yake WOTE WATANO WATARIDHIKA!
kwa vipi,utakaposikiliza muziki being it ni kitu unakipenda,utacheza,utacheka,utaongea,utaandika mashairi,na hata utapika chakula kizuri huku unasikiliza muziki wako!
see?
kumbe basi tusikazaaaane saaa kuridhisha kila mtu na kusahau kuridhisha nafsi zetu!
 
sikatai Kusamehe "very easy"..
Kusahau kitu kingine kabisa.

Chukuliwa wat waliopitia mateso wakiwa utotoni hata ukubwani.
mateso kama vile, ubakaji, ukandamizaji, bulling and so on ..

hao watu wanaweza kabisa kuwasamehe walio wakosea.
lakini kusahau itawawia vigumu sana.

maana mtu anaweza kuwa anaangalia tu TV akaona kuna news ya
kwamba huyu alibakwa kabla hajauliwa..

straight away in trigger ile memory ambayo alikuwa anajaribu kusahau ..
nikwambie kitu?
kwa kubaki na hiyo kumbukumbu kichwani bado mtendewa hilo kosa haweza kuponywa ndani!
najua ni ngumu sana,mno!
but ndio dawa pekee ya kuumiza waliokuumiza!
mi huwa naamini anayekutendea uovu ana kusuduia kukuumiza,so ukiumia na kuenenda na maumivu yale kwake yeye ni USHINDI!
ukiwa tofauti na vile alivo tarajia uwe kwake yeye ni ANGUKO!
mi huwa nna msemo mmoja nawaambia watu and i live on tht too hata katika maanguko na maumivu ya kawaida kabisa!
UMEANGUKA,SIMAMA,FUTA VUMBI,TAZAMA MBELE ,ISHI!
ni kamsemo nimekaona impact yake kwenye maisha yangu!na huwa sijawahi kukatumia mahali kakaniangusha!
 
Kuna namna nyingi tu kutufanya tufurahi na kusonga mbele na maisha yetu ya kila siku..Hebu kwa leo tushee hii inayoitwa 'FACTS'....hivi ni vifupisho vya maneno ya kiingereza yanayoonyesha hatua za kukufanya ufurahie maisha yako...Mie nimeijaribu 'FACTS' na imenisaidia hebu na wewe ijaribu..

F...Forget the past (Sahau yaliyopita)
A..Accept your Mistakes (Kubali Makosa yako)
C..Cry and move on. (Lia kisha jifute machozi na uendelee mbele)
T..Thank God (Mara zote usisahau Kumshukuru Muumba)
S..Smile always (Usiache kuwa na Tabasamu mara zote)

Unaruhusiwa kuongezea hatua nyingine unzozofahamu nje ya hizi ili na mwingine ajifunze kwako...Unakaribishwa!!!

Men don't cry...!!!
 
Hivii....., haya hayana kiswahili chake?
Haaahaaaaaahaaaaa MESTOD umeniacha hoi haya:
samehe na usiweke kinyongo
kuwa na maoni chanya juu ya wengine
saidia wengine wakati wowote unapopata nafasi yoyote ya kufanya hivyo.
haya mkuu natumai umefurahi sasa au siyo?
 
Last edited by a moderator:

Asenti sasa nimeelewa na naweza endelea.
 
afrodenzi na SnowBall kusahau ni ngumu sana
Mengine nakubaliana nayo ila hili la kuwa umetendewa mabaya unasamehe ila kile kitu kuisha moyoni ni ngumu sana maana yapo mammbo na matukio mengi ambayo yanakukumbusha kile ulichotendewa
Unaweza kukutana na mtu akakupa mikasa ya maisha yake ukajikuta unashabihiana naye kwa kila kitu hivyo kile kinakukumbusha kule ulikopita
 
Last edited by a moderator:
Wakati mtakatifu Paulo alipoongozwa na Roho Mtakatifu kusema kuwa UPENDO ndio ulio mkuu katika yote,alikuwa na maana kubwa.
'
Leo tunapata shida sana katika maisha yetu kwa kuwa hatujui upendo ni kitu gani,ukijipenda na ukawapenda wengine bila masharti utaweza kuyafurahia maisha sana!
 
afrodenzi na SnowBall kusahau ni ngumu sana
Mengine nakubaliana nayo ila hili la kuwa umetendewa mabaya unasamehe ila kile kitu kuisha moyoni ni ngumu sana maana yapo mammbo na matukio mengi ambayo yanakukumbusha kile ulichotendewa
Unaweza kukutana na mtu akakupa mikasa ya maisha yake ukajikuta unashabihiana naye kwa kila kitu hivyo kile kinakukumbusha kule ulikopita

Kama hujasahau,hujasamehe!
 
ndio niliyosema na ninakuunga miguu na mikono:becky:
 
Inabidi tu kusahau mkuu wangu
Nothing lives forever..even our ideas/sorrows/griefs should follow the same path

afrodenzi na SnowBall kusahau ni ngumu sana
Mengine nakubaliana nayo ila hili la kuwa umetendewa mabaya unasamehe ila kile kitu kuisha moyoni ni ngumu sana maana yapo mammbo na matukio mengi ambayo yanakukumbusha kile ulichotendewa
Unaweza kukutana na mtu akakupa mikasa ya maisha yake ukajikuta unashabihiana naye kwa kila kitu hivyo kile kinakukumbusha kule ulikopita
 
Well-said mkuu
Kuna msemo wa kiingereza unasema hivi: To err is human, to forgive divine.
Na mimi naamini huwezi kusema nimemsamehe mtu flani wakati at the same time bado unakumbuka mabaya yake.........

QUOTE=Eiyer;5641526]Kama hujasahau,hujasamehe![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom