True Mkuu. Kuna watu hasa wanawake hide their tears in their smiles.
That's is not sexy because when a man loves a woman, he sees his world inside her eyes.
Thus, most men would prefer to see a woman not hiding their tears in their smiles, but smiling with tears in their eyes.
That's sexy as well.
Mkuu EMT naamini when a woman anapokuwa in love with a man kuna vingi vinaonekana na huwa hawawezi kuficha feelings zao (kwa baadhi lakini simiani kama ni wote maana sometimes wengine hata kuonyesha tuu sign za love kwako ni issue) Na hawa ni wale ambao they can hide their tears no matter what mbele ya mwanaume anayempenda
Ila smile and tears from a woman you love makes you feel so high mnapokuwa mko kwenye mazingira ambayo yanaruhusu
(sijui tumeenda nje sana ya topic ya SnowBall atatusamehe lakini)
Last edited by a moderator: