Follow the 'facts' to be happy..............

nikwambie kitu?
kwa kubaki na hiyo kumbukumbu kichwani bado mtendewa hilo kosa haweza kuponywa ndani!
najua ni ngumu sana,mno!
but ndio dawa pekee ya kuumiza waliokuumiza!
mi huwa naamini anayekutendea uovu ana kusuduia kukuumiza,so ukiumia na kuenenda na maumivu yale kwake yeye ni USHINDI!
ukiwa tofauti na vile alivo tarajia uwe kwake yeye ni ANGUKO!
mi huwa nna msemo mmoja nawaambia watu and i live on tht too hata katika maanguko na maumivu ya kawaida kabisa!
UMEANGUKA,SIMAMA,FUTA VUMBI,TAZAMA MBELE ,ISHI!
ni kamsemo nimekaona impact yake kwenye maisha yangu!na huwa sijawahi kukatumia mahali kakaniangusha!

kadiri muda unavyoenda maumivu hupungua
Lakini huwezi kusahau jambo lilikusibu maisha.

Yes ,
unatakiwa kusonga mbele , hayo yote yanategemea muda..

TIME IS THE ANSWER FOR EVERYTHING.
 
Asante, how deep?

Hili huwa la msingi sana, kuna vingine kufumba na kufumbua ushasahau, mengine yataka moyo na muda

Ni vigumu kusahau yaliyopita.
Ni rahisi kusema lakini..

Hiyo inategemea "How deep" hicho kitu ambacho unataka kusahau.

Mengine yote nakubaliana nawe.
 
Eiyer waweza sema hivyo ila nikuulize kitu kimoja
Unapokuw ana kidonda wakati kikiwa kibichi kinauma sana na kinachukua muda wako kinapona na unasahau yale maumivu
Ila lile kovu linabaki kwenye mwili wako na haijalishi lile kovu haliumi wala halina madhara yoyote kwenye mwili wako
Ila kila ulionapo lile kovu unakumbuka maumivu ya kile kidonda wakati kikiwa kibichi japo kwa wakati unapokumbuka maumivu yale kovu lako halina matatizo yoyote. Kusahau unasahau maumivu ya kile kidonda ila kovu linakukumbusha kuwa pale paliwahi kuwa na kidonda
Unapokumbuka yale yaliyotokea sio kwamba bado una maumivu ya ulichotendwa ila unakumbuka kile ambacho uliwahi kupitia na sio kwamba hujamsamehe aliyekutenda SnowBall its true nothing lives forever ila bado huwa tunakumbuka na kuna matukio yanatufanya tukumbuke kile ambacho kilishapita katika maisha yetu na sio kwamba unakumbuka kwa mabaya au kumlaani aliyekutendea hayo ila unapofanya hivyo jua kwamba kuna tukio au jambo limekufanya ukumbuke
bado tunapita katika machungu mengi ya maisha na huwa hatupendi wale wanaotufuata wapitie the same path ila tunajitahidi kuwatengenezea njia wapite kwenye maisha ambayo hayana machungu kama yale tuliyopitia afrodenzi asante sana
 
Last edited by a moderator:
KUSAHAU nakubaliana na wewe kuwa si jambo rahisi sana kulifanya hasa kama jambo husika liligusa mwili na ubongo wako...ingawa mie sio psychologist lakini naamini ziko namna za kufanya kupoteza kumbukumbu mbaya za matukio ya nyuma...kuna familia moja Rwanda walikuwa wanasimulia jinsi walivyoweza kusamehe na kusahau mambo ambayo muuaji mmoja wa kihutu aliwafanyia as a family..najua ni ngumu but inawezekana pia...

kama walikuwa wanasimulia which means wanakumbuka kila kitu "Hawakusahau"
Labda wamewasamehe, na sasa wanasimulia kama story, lakini zile kumbukumbu
bado ziko pale pale.
 
kadiri muda unavyoenda maumivu hupungua
Lakini huwezi kusahau jambo lilikusibu maisha.

Yes ,
unatakiwa kusonga mbele , hayo yote yanategemea muda..

TIME IS THE ANSWER FOR EVERYTHING.

AND LIFE GOES ON ryt?
 
Asante, how deep?

Hili huwa la msingi sana, kuna vingine kufumba na kufumbua ushasahau, mengine yataka moyo na muda

ila sikuzote ukitaka usiumie usiweke kitu moyoni just put it into your mouth and speak it.
nimeona faida ya hi kwangu. hata mtu uniumize kiasi gani kama siwez kusema nadharau na kukitoa moyoni hata kama ni gumu kiasi gani.
 
Kongosho.

Kuna mambo mengine ngumu sana kusahau ..
sababu yana mizizi iliyoota kwenye ubongo
na hayahita maji wala jua kukua.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho.

Kuna mambo mengine ngumu sana kusahau ..
sababu yana mizizi iliyoota kwenye ubongo
na hayahita maji wala jua kukua.
unakuwa hujitendei haki!
kuna kuumizwa leo,ukiendelee kuumia katika ulichoumizwa unampa fursa aliyekuumiza kuumiza na kesho yako!
believe me not!wanadamu wengine ni furaha kwao kutuona tunalia,why shud yu be the one to give thm their sadistic pleasures?
NO WAY!
naumia sasa,nalia,tena nalia sanaaa!nikilala nikiamka nimemaliza!
 
Umesema yote mkuu...nikiongeza ntaharibu...
Jambo moja la kujiuliza ni Je? TUNAKUMBUKA yaliyopita ili iweje?
Kama mafunzo kwa wenzetu?...kama ishara ya kulipiza kisasi?

Eiyer waweza sema hivyo ila nikuulize kitu kimoja
Unapokuw ana kidonda wakati kikiwa kibichi kinauma sana na kinachukua muda wako kinapona na unasahau yale maumivu
Ila lile kovu linabaki kwenye mwili wako na haijalishi lile kovu haliumi wala halina madhara yoyote kwenye mwili wako
Ila kila ulionapo lile kovu unakumbuka maumivu ya kile kidonda wakati kikiwa kibichi japo kwa wakati unapokumbuka maumivu yale kovu lako halina matatizo yoyote. Kusahau unasahau maumivu ya kile kidonda ila kovu linakukumbusha kuwa pale paliwahi kuwa na kidonda
Unapokumbuka yale yaliyotokea sio kwamba bado una maumivu ya ulichotendwa ila unakumbuka kile ambacho uliwahi kupitia na sio kwamba hujamsamehe aliyekutenda SnowBall its true nothing lives forever ila bado huwa tunakumbuka na kuna matukio yanatufanya tukumbuke kile ambacho kilishapita katika maisha yetu na sio kwamba unakumbuka kwa mabaya au kumlaani aliyekutendea hayo ila unapofanya hivyo jua kwamba kuna tukio au jambo limekufanya ukumbuke
bado tunapita katika machungu mengi ya maisha na huwa hatupendi wale wanaotufuata wapitie the same path ila tunajitahidi kuwatengenezea njia wapite kwenye maisha ambayo hayana machungu kama yale tuliyopitia afrodenzi asante sana
 
Kweli, life goes on and on

But unahitaji muda kupona

Ukijisahaulisha makusudi wakati ubado unaumia, waweza jikuta unakuwa mtu wa kulipuka lipuka na hasira kwa watu wengine

Time heals!

unakuwa hujitendei haki!
kuna kuumizwa leo,ukiendelee kuumia katika ulichoumizwa unampa fursa aliyekuumiza kuumiza na kesho yako!
believe me not!wanadamu wengine ni furaha kwao kutuona tunalia,why shud yu be the one to give thm their sadistic pleasures?
NO WAY!
naumia sasa,nalia,tena nalia sanaaa!nikilala nikiamka nimemaliza!

Kongosho.

Kuna mambo mengine ngumu sana kusahau ..
sababu yana mizizi iliyoota kwenye ubongo
na hayahita maji wala jua kukua.

ila sikuzote ukitaka usiumie usiweke kitu moyoni just put it into your mouth and speak it.
nimeona faida ya hi kwangu. hata mtu uniumize kiasi gani kama siwez kusema nadharau na kukitoa moyoni hata kama ni gumu kiasi gani.
 
unakuwa hujitendei haki!
kuna kuumizwa leo,ukiendelee kuumia katika ulichoumizwa unampa fursa aliyekuumiza kuumiza na kesho yako!
believe me not!wanadamu wengine ni furaha kwao kutuona tunalia,why shud yu be the one to give thm their sadistic pleasures?
NO WAY!
naumia sasa,nalia,tena nalia sanaaa!nikilala nikiamka nimemaliza!

dahhhh utakuwa na roho ya chuma ndugu yangu..

kama nilivyosema hapo mwanzo inategemea "How Deep" hicho kitu ambacho unataka kusahau..

kama ni maumivu ya mapenzi, yanaweza yakuumize kwa muda unapata mwingine
you move on..

umewahi kupoteza mtoto wewe (kuaga dunia)???
kama hujawahi basi hata usihangaike kunijibu.
maana hata uzae wangapi bado uchungu wa yule uliempoteza upo.
 
Nadhani issue hapa inakuwa TUNASAHAUJE yaliyopita
Naona wewe unaichukulia KUSAHAU kama kupoteza kumbukumbu au kutolizungumza jambo fulani kabisa...
Kiukweli naiona pointi yako na ni angalizo la msingi pia..LAKINI labda ili ikae vizuri tukubaline kuwa akili ya binadamu ni sawa na computer kwa hiyo kitu kikishakaa kwenye hard drive hata ukishut down ..ukifungua kesho utakiona (unless ufanye formatting ambayo kiuhalisia haiwezekani)..La msingi nadhani tunachotakiwa kufanya ni KUSAHAU yaliyopita in a sense ya kutojitaabisha kila wakati kujiuliza 'why it happened to me'??..i stand to be corrected lakini..........

kama walikuwa wanasimulia which means wanakumbuka kila kitu "Hawakusahau"
Labda wamewasamehe, na sasa wanasimulia kama story, lakini zile kumbukumbu
bado ziko pale pale.
 
Kweli, life goes on and on

But unahitaji muda kupona

Ukijisahaulisha makusudi wakati ubado unaumia, waweza jikuta unakuwa mtu wa kulipuka lipuka na hasira kwa watu wengine

Time heals!

kabisa yaani Kongo..
Muda unasaidia sana kupunguza machungu .
na hata kutafuta furaha fulani itakayo kusaidia
"KUPUNGUZA LILIE PENGO" kamwe pengo halitazibika.
 
Kweli, life goes on and on

But unahitaji muda kupona

Ukijisahaulisha makusudi wakati ubado unaumia, waweza jikuta unakuwa mtu wa kulipuka lipuka na hasira kwa watu wengine

Time heals!
its all about yu unajua enh?
ukibaki na kisasi na kungoja mwingine akuponye au muda ukuponye unakuwa mtumwa wa maumivu yako!
and about kuwa na mihasira na watu wengine
hii mi ndo niilikuwa nayo!
but hebu imagine unaumza wengine tena wanaokujali sana lets say watoto mfano,kwa kuwa umeumizwa !
hebu igeuze ukaanza kuwatumia watoto kama sababu ya smile yako!
utaona wanavokupenda na kukuona ni wa thamani!
HUWA TUNAJIKUTA TUNAPOTEZA SANA WALIO NA THAMANI KWENYE MIOYO YETU KWA KUJUTIA MMOJA ASIYETUTHAMINI!nooo!BIG NO!
leo koniie unanipa furaha na cheko namna hii humu,kwa nini nisivalue hilo tu eti kwa kuwa fulani kaniumiza!hapana kwa kweli!will use ur ability to make me laugh na kusamehe umizo langu!kwani mimi ni nani mpka kila mtu awe mwema kwangu?
 
Umesema yote mkuu...nikiongeza ntaharibu...
Jambo moja la kujiuliza ni Je? TUNAKUMBUKA yaliyopita ili iweje?
Kama mafunzo kwa wenzetu?...kama ishara ya kulipiza kisasi?

Mkuu SnowBall kuna kukumbuka kwa sababu umeona au umekumbana na same situation kutoka kwa mtu anapokueleza yale aliyoyapitia so sio kukumbuka na kumlaani aliyekutenda ila kukumbuka kuwa ulipita katika similar situation na ulipita vipi na unatoa fundisho kwa mwenzako kuwa pamoja na kuwa wewe unakumbana na haya pitia hapa au fuata maelekezo hay nawe utavuka salama
Kwa wengine SnowBall unajua tena wanapokumbana na matatizo suluhisho huwa ni kujiua au kukata tamaa au kupigana ila ukiwa na wa kumweleza hayo yote utakutana na mtu ambaye amepita huko uliko wewe na akavuka salama bila kujitoa maisha au kukata tamaa
 
Last edited by a moderator:
dahhhh utakuwa na roho ya chuma ndugu yangu..

kama nilivyosema hapo mwanzo inategemea "How Deep" hicho kitu ambacho unataka kusahau..

kama ni maumivu ya mapenzi, yanaweza yakuumize kwa muda unapata mwingine
you move on..

umewahi kupoteza mtoto wewe (kuaga dunia)???
kama hujawahi basi hata usihangaike kunijibu.
maana hata uzae wangapi bado uchungu wa yule uliempoteza upo.
well sijawahi kupoteza mtoto!but sidhani kama sijawahi kufiwa na walio karbu yangu!please dont get too personal
tuliongelee hili kwa ujumla tu!please!usiende huko unakotaka kufika!naomba niwe mtu wa mwisho kukufikisha huko !please!please!I BEG YU!
 
How is deep torturing is deep??
Wewe hukubaliani na dhana ya kuwa kuna maumivu yanayouma sana na mengine unaweza kutake for granted?
How do you put something on your mouth rather than in your heart?...nisaidie hapa...........

ila sikuzote ukitaka usiumie usiweke kitu moyoni just put it into your mouth and speak it.
nimeona faida ya hi kwangu. hata mtu uniumize kiasi gani kama siwez kusema nadharau na kukitoa moyoni hata kama ni gumu kiasi gani.
 
hamna kitu kama kusahau duniani, kitendo cha kusamehe ni kuruhusu akili na mwili wako kutokuwa na kinyongo.
hivi kuna ubongo gani utakaokumbuka mambo mazuri peke yake na usahau mabaya? HAMUNA
 
Nadhani issue hapa inakuwa TUNASAHAUJE yaliyopita
Naona wewe unaichukulia KUSAHAU kama kupoteza kumbukumbu au kutolizungumza jambo fulani kabisa...
Kiukweli naiona pointi yako na ni angalizo la msingi pia..LAKINI labda ili ikae vizuri tukubaline kuwa akili ya binadamu ni sawa na computer kwa hiyo kitu kikishakaa kwenye hard drive hata ukishut down ..ukifungua kesho utakiona (unless ufanye formatting ambayo kiuhalisia haiwezekani)..La msingi nadhani tunachotakiwa kufanya ni KUSAHAU yaliyopita in a sense ya kutojitaabisha kila wakati kujiuliza 'why it happened to me'??..i stand to be corrected lakini..........

Huwezi kusahau yaliyopita ..
simple & clear.

especially kama hicho kitu kilikwa na big impact in your life.
definitely unaweza "kuondoa makali yote" na unaweza kusamehe
lakini huwezi kusahau.
 
Back
Top Bottom