Follow Me If You Can!

Ni ujinga kumuongelesha mzungu kingereza kwa sababu tu umeona ni mzungu!
 
Ni ujinga kunywa juice ya tikiti maji, ikiwa juice yenyewe haitokuwa tofauti na rangi ya maji!
 
Ni ujinga kujitazama kwe kioo huku umefumba macho, ili eti ujione unavyofanana pindi uwapo usingizini.
 
Ni ujinga kusubiri maisha bora ccm wakati rais hajui kwanini wananchi wake ni maskini.... lol
 
Ni ujinga kuweka pilipili nyingi kwenye chakula cha mhindi ukidhani unamkomoa!
 
Ni ujinga Us kutoonyesha maiti ya Osama lakn unaonyesha ya Gadafi..
 
Ni ujinga na uchoyo wa aina yake kuomba uongezewe muda wa kuendelea na kazi baada ya miaka 60 ya umri wako.
 
Ni ujinga kumwita mwanao mbwa kwani mbwa huzaliwa na mbwa.
 
Ni ujinga kufanya ngono bila kondom alafu baada ya kumaliza unajuta.
 
Ni ujinga kusoma point zangu wakati unajua sija changia kitu.
 
Ni ujinga kwenda kanisani huku umepanga appointment ya kula tamtam na kabinti
 
Ni ujinga kujisifu mna rais handsome kuliko wote africa(nchi kapuni) wakati anaendesha nchi kama mfalme juha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…