Follow Me If You Can!

Ni utahira kunicheka mimi mshabhki wa Arsenal wakati no arsenal no man u,au kunicheka nashabikia yanga wakati no yanga no simba.wote tukiwa simba na man u ni ujinga.
Nawewe manu unaopenda kuchnga chonga kuhus arsenal na wewe cmba unaochonga kuhusu yangu.dawa yako iko njian ni BAN
 
ni ujinga kusema barca imedraw na kitimu kidogo wakati real madrid ilifungwa 1-0 na levante!
 
ni ujinga kumtamani avatar ya mtu na ukaamua kumtokea ukiamini atakuwa mkali kama hiyo avatar
 
Ni ujinga kujifanya nchi hii haina ukabila wakati kila harusi inayosherehekewa katika kumbi jijini dar es salaam utasikia habari za makabila hayo mawili yaliyooana tu, hutosikia wengine

Ni ujinga kutangaza mgao wa umeme kuwa janga la kitaifa wakati ni asilimia 14 tu ya watanzania ndio wanaotumia huo umeme, wengine tunawapigia kelele tu

Ni ujinga kujiita sisi ni taifa changa wakati tuna miaka 50 sasa
 
* ni ujinga kunyan'ganyiana daladala mlangoni, baadae mnajikuta nyote mmepata seat

* ni ujinga kubipu upigiwe, then ukipigiwa hupokei

* ni ujinga kumshuku mtu anataka kukuibia njiani, wakati mifuko yako hamna kitu

* ni ujinga kuvaa saa ya mkononi iliyosimama, ukiulizwa mda je ?

* ni ujinga kuvaa kimini/kitopu, halafu uko bizi kujifunika maeneo yaliyo wazi

heh
Nimeipenda hii mtu anajistukia kuibiwa akat hana kitu mfukoni.
 
ni ujinga kusema barca imedraw na kitimu kidogo wakati real madrid ilifungwa 1-0 na levante!
Ni ujinga kuishangaa Madrid kufungwa 1-0 ugenini kwa Levante wakati Barca ilishawahi pigwa 2-0 na newly promoted hercules tena barca wakiwa home.
 
Ni ujinga kila daladala kipanya kuiita Hiace(haisi) wakati hiace ni aina mojawapo ya mabasi madogo.

Ni ujinga kila kituo cha mafuta (petrol/gasoline station) kuitwa Shell, wakati Shell ni moja ya makampuni ya mafuta duniani.
 
Ni ujinga kuishangaa Madrid kufungwa 1-0 ugenini kwa Levante wakati Barca ilishawahi pigwa 2-0 na newly promoted hercules tena barca wakiwa home.

*Ni ujinga kuzungumzia matokeo ambayo hayakutuzuia kuchukua kombe la ligi ya hispania kwa pointi nyingi nyuma yenu
*Ni ujinga kuichukia barca eti kwa sababu inawapiga kila siku
*Ni ujinga kuichukia simba eti kwa sababu yanga anafungwa kila mara
*Ni ujinga kuni-quote ukijua utanikomoa
 
ni ujinga kufakamia msosi na bia kwenye sherehe ukidhani unawakomoa waandaaji wa sherehe.
Ni ujinga ujinga kwenda baa huku ukijua huna hela.kazi kuomba tu bia.
 
ni ujinga kwenda kanisani kila siku na hutaki kubadilika kuwa wamoto au wabaridi lasivyo Mungu atakutapika, ni ujinga kutafuta nyumba ndogo wakati unamkeo nyumbani anayekupenda kwa dhati na hali ukijua huyo nyumba ndogo anakufanya ww ATM machine, ni ujinga kutoa mimba wakati kuna wenzako wanatafuta watoto kila siku, ni ujinga kuhuzunika umefeli mtihani wakati hukupenda kusoma, ni ujinga kuchukia kazi inayokupa kipato wakati jeuri ya kuacha huna
 
Ni ujinga kupiga magoti kanisani wakati hujapewa adhabu

Ni ujinga kulamba stamp za posta wakati hazina utamu

NI ujinga squire kuomba msaada wakati unazama majini mtu anakuambia "Press F1 for help"
 
Ni ujinga kusema mtandio wa mkatoliki Fatma Kimaro ni Hijabu
Ni ujinga kusema Fatma Kimaro ni Muislam wakati anafuga kitimoto.
 
Ni ujinga kukataa kula maharage wakati huna hela ya nyama>>>Ni ujinga,cha kwanza na cha pili unavaa kinga halafu cha tatu unaenda dry!
 
Ni ujinga kuiba kwa siku 39 mfululizo ukiamini kwamba huwezi kamatwa kwani za mwizi ni 40>>>Ni ujinga nikikutendea jambo zuri unasema MUNGU akubariki! kwani wewe ndo unampa MUNGU amri ambariki mtu?>>>Ni ujinga kufanya ngono zembe sana halafu doctor aliyekupima akisema unao unasema;ooh no please doctor sema sijaukwaa,sema unatania!>>>Ni ujinga kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate.
 
Back
Top Bottom