Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

1. Ni ujinga ukikamatwa na kupelekwa polisi ukafikiria kuwa utapata huduma ya 'massage'
2. Ni ujinga kwenda gerezani na suti wakati ukijua kuwa utaishia kuvaa kaptula na kikoi cha kazi

* ni ujinga kunyan'ganyiana daladala mlangoni, baadae mnajikuta nyote mmepata seat

* ni ujinga kubipu upigiwe, then ukipigiwa hupokei

* ni ujinga kumshuku mtu anataka kukuibia njiani, wakati mifuko yako hamna kitu

* ni ujinga kuvaa saa ya mkononi iliyosimama, ukiulizwa mda je ?

* ni ujinga kuvaa kimini/kitopu, halafu uko bizi kujifunika maeneo yaliyo wazi

heh

Ni ujinga kumkumbatia kiunoni mwanaume mwenzio wakati amekupakia kwenye pikipiki.

Ujinga nikuishabikia man wanaojiita mashetani wekundu inamaana unashabikia shetani
Hapo Shine umekosea! Hilo jina tu, mbona Joseph Huaule anajiita Prof. Jizee kwani ni kweli professor?

Ni ujinga kufanyishwa interview kwa kiingereza wakati kazini tunatumia kiswahili

Ni ujinga kila daladala kipanya kuiita Hiace(haisi) wakati hiace ni aina mojawapo ya mabasi madogo.

ni ujanja sasa ianze lol!...Haya me naanzisha ni ujanja ku...oh nimesahau kama vp ni ujinga iendelee...

NI UJINGA KUWA MSHABIKI WA ARSENAL HALAFU BAADA YA MECHI NA MAN UNAJIFANYA HUIJUI ARSENAL ETI NI MSHABIKI NI BARCA.
Ujinga nikuishabikia man wanaojiita mashetani wekundu inamaana unashabikia shetani

ni ujinga unatafuta kitu wakati umeshikilia mkononi

NI UJINGA KUWA MSHABIKI WA ARSENAL HALAFU BAADA YA MECHI NA MAN UNAJIFANYA HUIJUI ARSENAL ETI NI MSHABIKI NI BARCA.

NI UJINGA KUIZODOA SANA ARSENAL IKIBORONGA WAKATI LIVERPOOL AMBAYO NI TIMU YENYE MAFANIKIO MAKUBWA KULIKO TIMU ZOTE ZA ENGLAND IKIBORONGA MWAONA NI KAWAIDA!

Ni ujinga kuongelea habari za mgao wa umeme wakati kuna mgao wa giza...

Ujinga ni kuibiwa ndani na una demu 'mkali'

Back
Top Bottom