Ni ujinga kukata simu baada ya mazungumzo wakati umepigiwa
Ni ujinga kuangalia salio kwenye simu baada ya kupigiwa sumu
Ni ujinga, ukipigiwa simu kuweka kidole kwenye kitufe cha kukatia simu wakati unaongea
Ni ujinga kupiga chafa na mluzi kwa wakati mmoja
Na mwisho ni ujinga kutoa maukoko puani wakati uko kwenye kadamnasi.