FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!

Tabu ley: Zaire's Iconic Musician.




Respect.

FMEs!
 




Johnny Bokelo RIP: Zaire's Legendary Musician.

- Mzee Bokelo Johnny Isenge, alikuwa mpiga solo maarufu sana ikiwa ni pamoja na uimbaji wa sauti kiongozi, akiongoza bendi yake mwenyewe aliimba kibao kisichochujika daima cha "Tambola na mokili" nimeanza kukisikia toka nikiwa na miaka kama mitano na mpaka leo bado kiko bomba sana.

- Bokelo ndiye aliyepiga solo na kuimba sauti ongozi kwenye kiabo cha "Engunduka" alichoshirikiana na Verkys, baada ya kutungwa na mpigaji wa Verkys kwa jina la Matalanza, pia miwshoni mwa uhai wake aliimba kibao maarufu sana "Bana Africa" kwa mtindo wa Sandoka, lakini katika vibao vyake vyote huku duniani kuna kile kimoja cha zamani kidogo "Bamama na mobali" kwa kiswahili akisema mume hatakiwi na familia ya mke that was a hype song.


Respect.

FMEs!

 
[FONT=Arial, Arial, Helvetica]
<!--mstheme-->[/FONT]​
<!--mstheme-->[FONT=Arial, Arial, Helvetica]<!--mstheme-->[/FONT] <!--mstheme-->[FONT=Arial, Arial, Helvetica] [/FONT][FONT=Arial, Arial, Helvetica]

[Left to Right]: Wuta Mayi, Nyboma, Loko "Djeskain" Massengo, Bumba Massa
[/FONT]
 
[FONT=Arial, Arial, Helvetica]
[/FONT]




Rigo Star: TP OK Jazz.


<table style="border-collapse: collapse;" id="AutoNumber20" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="90%"><tbody><tr><td width="50%">
</td><td width="50%">
</td></tr></tbody></table>
 





Respect.

FMES!
 
mabondia


Toka shoto ni emmanuel mlundwa, mbwana matumla na bakari selemani. mlundwa ni rais wa pugilistic syndicate of tanzania (pst) na sele ni pr0mota na refa. mbwana anazipiga bado

Respect.

FMEs!
 


Boxer Emmanuel Mlundwa, mmoja wa bondia wa kwanza kutuwakilisha kwenye Olyimpics in the 1970s na 80s, akishirikiana na bondia mwingine Titus Simba waliweka sifa kidogo kwa taifa letu, ingawa hawakufika mbali sana, Mlundwa ndiye m-Tanzania wa kwanza ku-introduce ngumi za kulipwa nchini.

Titus Simba was the first Tanzanian boxer to win commonwealth medal when he won silver in 1970 and while Michael Yombayomba earned Tanzania its first commonwealth gold in 1998 in Kuala Lumpur Malaysia.

Respect.

FMEs!
 


- Hizi namba hazisemi uongo ni facts.

Respect.


FMEs!


 
Mzee Daudi Kabaka RIP: Kenya's Music Legend.





Respect.

FMEs!
 
Wema Abdallah: Tanzanian Music Legendary.


<table border="1" cellpadding="3" cellspacing="3"><tbody><tr><td>1971 CPOLP654</td> <td>WESTERN JAZZ BAND</td> <td>SABOSO </td> <td>A: Salima / Masikini / Veronica / Kilimo / Weke Akiba / Mtindo wa Saboso
B: Jeanine / Mwenzangu Fatuma / Barua yako / Baba Nyerere / Anna / Sina Wivu</td></tr></tbody></table>
 
Mbaraka Mwinshehe: Tanzanian Icon Musician.


<table border="1" cellpadding="3" cellspacing="3"><tbody><tr><td>1982
POLP 517</td> <td> Mbaraka Mwinshehe Mwaruka </td> <td>The Very Last Recording of Soloist National Baniani Mbaya Kiatu Chake Kizuri
</td> <td>A: Koeta
Bambalawe
B: Tamaa ya Kuku
Mtaa wa saba </td><td>Polydor LP. "Mtaa wa saba" also on polp 512, polp 517 and polp 537.</td></tr></tbody></table>
 
(OLD IS GOLD) ZILIZOPENDWA




- Hii ni moja ya album ya Nuta Jazz enzi hizo, ambapo bendi zetu zilikua zikienda kurekodi Kenya. Nuta ambayo sasa ni Msondo Ngoma Band, bado inaendelea kuwika sana nchini hata baada ya miaka karibu 40 ya kuwepo kwake uwanjani.

Respect.


FMEs!
 
Mayaula Mayoni: TP Ok Jazz Legendary.

Friday, November 7, 2008

The Very Best of Mayaula Mayoni, "Don Padrino" - Fiona-Fiona, ALIA Music 1987




- Mayaula Mayoni alikuwa mwanamuziki aliyekua nguzo ya TP Ok Jazz, baadaye alijitoa na kuingia bendi mbali mbali, kabla ya kuhamia Nairobi Kenya, ambako in the 1980s, alitoa kibao kikali sana ambacho mpaka leo bado kuchuja cha "Nataka Kufa" ni mmoja wa wanamuziki wanaoheshimika sana huko jikoni kwenyewe yaani Zaire.

Respect.

FMEs!




 
Mtoto wa Mbaraka Mwinshehe.




Pamoja na kuwa ni mwanamama muhtaji mbaraka mwinshehe mwaruka anaendeleza libeneke la hayati baba yake kwa kupiga muziki na bendi yake ya volcano stars. yeye huimba na kupiga bezi

Respect.

FMEs!
 
<table style="width: 479px; height: 328px;" align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr valign="top"><td width="479">


Respect.

FMES!
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td valign="top"><table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="98%"> <tbody><tr> <td><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td align="left" valign="top">
</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
Didier Drogba: Ivory Coast Soccer Icon.






Respect.


FMEs!
 
KOFFI OLOMIDE




<sup id="cite_ref-0" class="reference"></sup>

Respect.

FMEs!
 
Emoro RIP: Star Empire Bakuba Pepe Kalle.




Pepe Kalle: RIP




Respect.

FMEs!
 
yanga ndani ya maracana



- Wakulu hiyo jezi walioavaa Yanga, enzi hizo ukiitwa "uzi", acha bwana!

Respect.

FMEs!



hivi ni kweli kuwa Sembuli Gibson alimuua mdogo wake kwa shuti?maana wakati tunakuwa hii ilikuwa stori iliyozagaa,i didnt even know the guy lakini he was a legend to me then.his name was so big.........
 
Alain Makaba



- Huyu ndiye Alain Makaba, aliyekua mpiga solo la sauti laini sana katika original Wenge BCBG, kwenye vibao kama "Kalayi Bwinge", "Da Lavie" na "Masampu", sasa ana bendi yake na amerekodi vibao saafi sana.

Respect.

FMEs!

FMes,

Kuna wimbo nilikuwa sifahamu unaitwaje. Huyu jamaa alishusha Solo gitaa la Nguvu hadi sasa huu wimbo na miaka mingi kupita huwa naingia kwenye site na kuuzikiliza. Kama una MP3 yake basi ntaomba unishushie kwa anwani ya SIKONGE@GMAIL.COM. Hii inaweza kuwa member yeyote mwenye huu wimbo ukiwa na quality nzuri yaani Minimum 192kbps.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=gXiBxCiTRIY&feature=PlayList&p=B531EA6F6F11E5C6&playnext=1&playnext_from=PL&index=132[/ame]

Wenge Musica - C'est Trop Tard Djenga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…