ulimwangalia lini floyd ukaona anavochezaga? hizo ndiyo tactics zake, anamwacha mpinzani ajipike, then....:boxing:
Mayweather kakazana kusema no huku anakula ngumi za uso
Punguza 0 moja iwe 10 then toa 4 inabaki 6. Kala ngumi sita furahi basi
Yeyoo. May weather"Mayweather back on top,"
![]()
haah haah waue"Mayweather back on top,"
![]()
may the baffalo"Mayweather back on top,"
![]()
Kuna mdau kadai eti may kala ngumi 100 ndani ya sec3
Mbona sioni pich za Pac akimpa mambo My naona za upande mmoja tu?
Kocha babaake May.Analia mtoto anakula kichapo live pesa mbaya.Hahahaha kocha wa mayweather analia mbona.