Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Duh.. Ngabu hadi wafilipinoDuh mke wa Pacquia kifaa cha ukweli..
Duh.. Ngabu hadi wafilipinoDuh mke wa Pacquia kifaa cha ukweli..
ulimwangalia lini floyd ukaona anavochezaga? hizo ndiyo tactics zake, anamwacha mpinzani ajipike, then....:boxing:TMT ameonesha udhaifu kbs
Mayweather ansshinda hata kwa point.
Pacman naye kaanza kula mikono ya haja.
Umeona ile right jab ya Mayweather?