Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Huyu may weather ana rudi nyuma kila round!
Ingekuwa wewe ungesimama?
Huyu may weather ana rudi nyuma kila round!
Naona hata lugha za watu humu ndani zimegeuka kuwa matusi. Sijui ni usingizi na viroba. Tuwe na staha tufurahie kwa pamoja
Ngoma nzito. Nadhani Mayweather atashinda japo nataka apigwe
Mchina anachakazwa
kashinda nan? mpaka sasa
twende kazi
Naona hata lugha za watu humu ndani zimegeuka kuwa matusi. Sijui ni usingizi na viroba. Tuwe na staha tufurahie kwa pamoja
mpka ss floyd anaongoza kwa point
mnatumix sana nyie
mi namwita Mchina tu,mfilipino inapoteza mdaMchina yupi tena?!