Plz tell me NN kwanini walianza na wimbo wa Mexico-_Manny na mambo ya selfies tena?
Duh hizo hasira ama??
Aaah wapi maana nilimwacha amefula mbaya...!
mungu amesaidia nimeenda chanell one nimepata mpambano toka saa10 love it...........!
Jaman matokeo kwetu umeme shida
Myweither alikuwa na wcwc sana
hahahaha!!!! em nyamaza sababu unatia kichefuchefu, half americans tu wanaonwa kama maviii huko utakuwa wewe mndengereko!!!! please be African cause wazungu hawakutambui na wala hufanani nao. #africanmattersLand of the free and home of the brave:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Happenings za USA zinawakeshesha wala vumbi teh teh teh