Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Vijana wa CDM wanazani kila kitu cha kuleta JF,angepeleka MMU huko,huyo kijana aliwai let's ugomvi wa mapenzi Halimashauri Igunga jukwaa LA Siasa

Na wewe mambo yenu ya ukada UCCM u CHD pelekeni jukwaa la siasa huko hadi huku mnayaleta ya nini?.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu Santa Cruz anavyokimbia kimbia hapa uwanjani ndio ambavyo Money atakavyocheza..
 
Orale ese! Whatever gigante, tequila for everyone, tokeni sasa hii mambo kubwa ianze. Gracias.
 
hawa jamaa wana ubora wa kutosha, utadhan ndo pambano kuu. Huku ndo walitudanganya Matumla angeenda,Si angetuaibisha?

Na wameiva kweli kwenye boxing. Matumla asingeweza round ya kwanza tu mechi ingeisha wenzetu hawana ujanja ujanja wa kina Matumla.
 
Humu wapenzi wa kweli wa masumbwi ni wachache sana.

Hata nikitaja jina la Adrien Broner sidhani kama naweza kupata watu watatu wanaomjua.....
 
My man the Real Deal Holyfield, ATLs own....

And my quarterback [Tom Brady] is in the house.

Earlier he was at the Kentucky Derby.

Na hii ndo ndinga aliyopanda Manny kuelekea MGM Grand.

Ni Ford something....

CECxqPTVAAAu_wy.jpg
 
Inaboa sana! Utadhani chelsea wanavyopaki basi

hahahaha i meant yule Tigre.. alikuwa anakimbiakimbia tu..

Na ndio game ya Mayweather, anarusha ngumi mbili then anazunguka uringo dakika nzima.. Kama Chelsea wanavyopaki bus tu khe khe khe
 
Mwenye link ya huu mpambano aweke hapa bandugu...hawa dstv ni wapuuzI sana wameona tunaolipia compact plus hatustaili kuangalia huu mpambano....wanaona laki na elfu 13 ni ndogooo...pumbavu sana.....na kwahili silipii tena...
 
Private jet terminal in Vegas, yangu iko pembeni sana kkkk just joking 1430622372294.jpg
 
Myweather kapanic kabisa lazima apigwee.
 
Tunaombeni Mtupe Updated Ya Kinachoendelea Uko.Wengine Tupo Vitandani
 
Back
Top Bottom