Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Yule Mbongo waliesema angepanda ulingoni leo imekuwaje?
Ha ha ha haaah. Wabongo kwa kudanganywa. Sijui hata aliishia wapi na promota wake.
Yule Mbongo waliesema angepanda ulingoni leo imekuwaje?
Hii game nawezaje kuipata online!?
Hivi kwa nini lakini hiyo entourage ya Money May ina mijamaa mirefu halafu minene tena yenye matiti?
Najua pengine ni walinzi lakini hata kama ni walinzi kwa nini asiajiri walio na physique nzuri?
Mijamaa ile usikute hata kukimbia haiwezi.
Mpambano ndio karibu unaanza!.Sasa nyie mnabishana hata hamtuambii kinachoendelea uwanjani
tuambieni bana
Super Sport 2 wanaonyesha mkuu
weka record yake mkuu pengine itakusaidia kitu,Myweza ni jitu kaliMkuu Myweather ana wasi wasi sana leo ndio mwisho wa tambo zake!
Mpambano ndio karibu unaanza!.
Match haijaanza bado
Dstv ni wezi tu wanaona ili pambano ni wale waliolipia full package . Kwanini wasingeonyesha hata super sport 2
Hivi kwa nini lakini hiyo entourage ya Money May ina mijamaa mirefu halafu minene tena yenye matiti?
Najua pengine ni walinzi lakini hata kama ni walinzi kwa nini asiajiri walio na physique nzuri?
Mijamaa ile usikute hata kukimbia haiwezi.
She was in trouble with uncle Sam, vipi walishamalizana?.Wow...Mary J looks gorgeous tonight.
Mary J Blige, Charles Barkley, Robert De Niro in da house.