Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Khe Khe kheeeeeeeeeeeee ushaanza kuweweseka MVP lol! Paki yao leo ataona cha moyo. Denzel Washington in the house.

Huyu Santa Cruz anavyokimbia kimbia hapa uwanjani ndio ambavyo Money atakavyocheza..
 
Sasa hapa achukue mtu achukue 'Iron' design ya Marvin Frazier ili kuwe na heshima, re-match ni wewe.
 
Humu wapenzi wa kweli wa masumbwi ni wachache sana.

Hata nikitaja jina la Adrien Broner sidhani kama naweza kupata watu watatu wanaomjua.....

kwahiyo ukiwa mpenzi wa kitu Fulani utamjua kila MTU..watu wanawajua waliotangazwa na Dunia....hata Katika mziki wa Rege kulikua na watu zaid ya Bob Marley,lakini dunia inamjua Bob
 
Yule Mbongo waliesema angepanda ulingoni leo imekuwaje?
 
Mwenye link ya huu mpambano aweke hapa bandugu...hawa dstv ni wapuuzI sana wameona tunaolipia compact plus hatustaili kuangalia huu mpambano....wanaona laki na elfu 13 ni ndogooo...pumbavu sana.....na kwahili silipii tena...

Hapo ndio utaona dstv hawafai. Pesa yote hiyo but huoni kitu seuze wale wa 17000 kwa mwezi watasubiri sana.
 
Ndinga kama mdudu. Hata siitaki
#sitakimbichi
My man the Real Deal Holyfield, ATLs own....

And my quarterback [Tom Brady] is in the house.

Earlier he was at the Kentucky Derby.

Na hii ndo ndinga aliyopanda Manny kuelekea MGM Grand.

Ni Ford something....

CECxqPTVAAAu_wy.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo ndio utaona dstv hawafai. Pesa yote hiyo but huoni kitu seuze wale wa 17000 kwa mwezi watasubiri sana.

Dstv ni wezi tu wanaona ili pambano ni wale waliolipia full package . Kwanini wasingeonyesha hata super sport 2
 
FloydMayweather Floyd Mayweather
Thank you God, my family, staff, friends and all my great fans from all around the world.
About one hour ago via Twitter for iPhone Favorite Retweet Reply
 
Sasa nyie mnabishana hata hamtuambii kinachoendelea uwanjani
tuambieni bana
 
Hivi kwa nini lakini hiyo entourage ya Money May ina mijamaa mirefu halafu minene tena yenye matiti?

Najua pengine ni walinzi lakini hata kama ni walinzi kwa nini asiajiri walio na physique nzuri?

Mijamaa ile usikute hata kukimbia haiwezi.
 
kwahiyo ukiwa mpenzi wa kitu Fulani utamjua kila MTU..watu wanawajua waliotangazwa na Dunia....hata Katika mziki wa Rege kulikua na watu zaid ya Bob Marley,lakini dunia inamjua Bob
huwezi jua wote lakini vichwa lazima uvijue.tufanye unapenda Rege halafu humjui Senzo,
 
Daaa huyu mbunge ni shida!!!
Halafu nimegundua mbunge ana super-sonic speed,ndo maana huwa anashinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom