FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

round 6 final fifteen seconds maidana was defenseless...dude got some upper cuts...fascinating fight...
 
Round 6 : mayweather naona kaanza kurudi na kucontroll game kampa majebu kama matau manne ya hivi,round hii mayweather kashinda dogo namuona ashaanza kuchoka.

unofficial mtangazaji anasema maidana leads by twa points....so far mkuu
 
Round 7 : mayweather aendelea kuonyeshwa ukongwe nahisi alikuwa hajamsoma dogo nw kamsoma pambano kachukua pointi hili,dogo inabidi azinduke sasa abadilike otherwise anapoteza dictaction ya game
 
maidana anaanza kupunguza idadi ya punch kwa kasi....sijui ndio kuchoka...floyd anapanda sasa...round seven asa..
 
floyd power punches at 69%...damn.......
 
maidana kacheza rough...kicking below the belt...
 
maidana is making this a rough affair....he has had some low blows....
 
Round 9 : mayweather is so damn good in defending na kukwepa dogo kashindwa kurudi mchezoni so far na akishindwa hizo round zilizonaki basi bila shaka floyd bingwa atakua
 
round ya kumi maidana anapigwa jabs za ukweli....
 
Back
Top Bottom