FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

Round 2:kama kawaida maidana anambananisha mayweather ukutani kwenye kamba na kuanza kumshambulia ila mayweather anajitahidi kukwepa na kurusha ngumi ila bado inabidi abadilike otherwise anaweza kupoteza pambano hili
 
Jamani mwenye link ya huo mpambano aweke hapo tuangalie
 
Round 1 :imeanza vizuri sana na kwa mujibu wangu round hii mayweather kakaa dogo maidana kambabanisha ukutani akaanza kumpa vitasa lets wait for round 2

mkuu leo ni leo sibanduki mpaka mwisho...mpambano unavutia kwakweli,,,kitaeleweka tu...
 
Round : naona mayweather karudi kivingine this time anakataa kupelekwa ukutani na anashambulia kwa akili lakini mara 1 maidana anafanikiwa kumpelka mayweather ukutani round hii 50 kwa 50 ila huyu sio mayweather ninaemjua he needs to change kwa kweli asikubali kushambuliwa kupelekwa ukutani
 
Round 2:kama kawaida maidana anambananisha mayweather ukutani kwenye kamba na kuanza kumshambulia ila mayweather anajitahidi kukwepa na kurusha ngumi ila bado inabidi abadilike otherwise anaweza kupoteza pambano hili

itafahamika tu.....i can mmayweather landing some punches...
 
maidana is making it difficult for floyd...
 
Round 4 :mayweather ampiga maidana kiwiko cha kuibia,dah na huyo dogo naona kumpelka mtu kwenye kamba ndo style yake ya kupigana mayweather apigwa ngumi ya jicho na kutoka damu round hii mayweather kapoteza.
 
round four imeisha....maidana is putting some pressure to the money team...
 
clash of the titans...the argentine is making it rough....
 
Huyu Maidana anataka kualiza pambano mapema anatafuta ile ya kumuangusha Floyd game over ikifika round ya 8 au 9 Maidana hajampiga floyd ujue anapigwa Maidana jamaa anatafuta yakuangusha tu.
 
Round 5 : round hii mayweather alichojitahidi ni kuzuia kutopelkwa kwenye kamba otherwise bado hajaweza kucontroll game
 
maidana is so difficult to tackle with counters...
 
maidana going upstairs while floyd slips some jabs...
 
Round 6 : mayweather naona kaanza kurudi na kucontroll game kampa majebu kama matau manne ya hivi,round hii mayweather kashinda dogo namuona ashaanza kuchoka.
 
Back
Top Bottom