King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Last edited by a moderator:
lets wait and see mkuu.!
Channel gani?
Jamani, ni saa kumi za kibongo lakini hatujapata mrejesho, Nyani Ngabu tujulishe basi kinachoendelea
Y'all welcome to my fight party.
I got plenty of beverages to choose from. From Grey Goose, Patron, all the way to Sunkist.
Sasa hivi naangalia NBA Playoff kati ya Memphis na OKC huku nikiangalia mipambano ya utangulizi.
Pambano linalokuja ni Amir Khan na mwingine huyo simjui.
![]()
![]()
Ha haaah,,, bro umepata promotion kuwa marketing manager nini?
Ah Hamna bana .....tuna kuala good time an wanangu tuna kuala good time tu.
ww utalala pambano limeisha na pombe hizo matangazo hayo mkuu.Ah Hamna bana .....tunakula good time na wanangu tu napa.
Derrick Fisher anaonyesha kuwa ng'ombe hazeeki maini, still full of energy
Huyo Diaspora bench limemkolea Sana mfundishe kupiga box Mr President, au anawaza uraia pacha #Thabeet
ww utalala pambano limeisha na pombe hizo matangazo hayo mkuu.
Huyu Broner hana jipya ndomana alipigwa na Maidana.
Niliamka saa kumi na moja, naangalia mpambano ya utangulizikama hautaki kuangalia mapambano ya utangulizi huna haja ya kuamka saa kumi usiku just saa moja kamili asubuhi inatosha sana
Haya sasa wale wapenzi wa masumbwi aka ndondi aka boxing leo ndio leo kati ya bondia asiyepigwa hata pambano moja la kulipwa The Money vs Maidana
tutumie uzi huu kupeana updates ya kinachojiri
binafsi sijui kwa saa zetu pambano litaanza saangapi