Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
! Je hivi ni sahihi kuwa mwanamke akingonoka sana inakuwa gumzo kwa watu na kuitwa jina malaya au kahaba, na je mwanaume anayengonoka na wanawake wengi je....
Si aweke sasa! mbona ye mwenyewe hafai! asijesahau na jina langu limo!mbona yeye kafanya na nanihii....
! Je hivi ni sahihi kuwa mwanamke akingonoka sana inakuwa gumzo kwa watu na kuitwa jina malaya au kahaba, na je mwanaume anayengonoka na wanawake wengi je....
Ufunguo unaofungua milango mingi unaheshimika, ila mlango unaofunguliwa kwa funguo nyingi unadharaulika saaana.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Idd azzan,ngeleja,komba,zitto,nyalandu,maige