Flora Mvungi ataka kuyaweka hadharani majina 10 ya wabunge waliotembea na Irene Uwoya

Status
Not open for further replies.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
irene_uwoya_flora_mvungi.jpg

Msanii wa bongo movie na bongo fleva,flora Mvungi ameibuka na kudai kuwa ana majina 10 ya wabunge ambao tayari washatembea na irene uwoya na atayaanika majina ayo wakati wowote.
amesema anajua mengi ambayo jamii aijui,pia ndani ya hio list ya wabunge kuna wazee ambao ni kama babake lakin kutokana na tabia yake ilo ajali.
wakati hana ujauzito alikuwa akipanga safari za kwenda dodoma mara kwa mara na uganda pia lengo lilikuwa ni kwa ajili ya vigogo hao.
pia safari ya uwoya ya uingereza alienda baada ya kuchukuliwa na bwana wa kizungu ingawa apa tz alisema anaenda kutafuta soko la filamu.

source. ni maojiano kati ya Flora mvungi na mwandishi wa DarTalk
 
! Je hivi ni sahihi kuwa mwanamke akingonoka sana inakuwa gumzo kwa watu na kuitwa jina malaya au kahaba, na je mwanaume anayengonoka na wanawake wengi je....
 
  • Thanks
Reactions: kui
''libwaaja libwaaja liko paande, na huko
pande lilipo liko shamba kwa Jumanne ingekuwa
gogo ningelikata, nkaligawa mapande''...

By Njenje
 
! Je hivi ni sahihi kuwa mwanamke akingonoka sana inakuwa gumzo kwa watu na kuitwa jina malaya au kahaba, na je mwanaume anayengonoka na wanawake wengi je....

Ufunguo unaofungua milango mingi unaheshimika, ila mlango unaofunguliwa kwa funguo nyingi unadharaulika saaana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
anayaweka ili iweje ?
Yeye keshatembea na wangapi? Mbona hayataji hadharani?
Au kutafuta umaarufu wa kipuuzi kwa kutumia jigongo ya wenzie???????
 
Drama gals wa Bongo hao...
Aanze tu kutaja majina ya wabunge, ana hamu ya kuwajoin Lulu na Kajala huko Segerea!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom