Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Msanii wa bongo movie na bongo fleva,flora Mvungi ameibuka na kudai kuwa ana majina 10 ya wabunge ambao tayari washatembea na irene uwoya na atayaanika majina ayo wakati wowote.
amesema anajua mengi ambayo jamii aijui,pia ndani ya hio list ya wabunge kuna wazee ambao ni kama babake lakin kutokana na tabia yake ilo ajali.
wakati hana ujauzito alikuwa akipanga safari za kwenda dodoma mara kwa mara na uganda pia lengo lilikuwa ni kwa ajili ya vigogo hao.
pia safari ya uwoya ya uingereza alienda baada ya kuchukuliwa na bwana wa kizungu ingawa apa tz alisema anaenda kutafuta soko la filamu.
source. ni maojiano kati ya Flora mvungi na mwandishi wa DarTalk