Flora Mvungi ataka kuyaweka hadharani majina 10 ya wabunge waliotembea na Irene Uwoya

Status
Not open for further replies.
Ukiona woya katembea na wabunge 10 bac yy 20 walikuwa wanakutana dodoma!! ney wa mitego akiimba makahaba wa bongo move munamponda sana sasa wenyewe wanaumbuana!
 
Ngoja na mimi nikupe makavu. Hapo kwenye blue ni Uwoya, movie, mnaponda. Umewezaje kuAccess internet mkuu?
 
Angetutajia ambao ametembea nao yeye akasema na alivuna kiasi gani ili akatwe kodi. Hizo za uwoya hatutakuwa na uhakikia manake hakuwa anamshikia mguu.
 
Ukiona woya katembea na wabunge 10 bac yy 20 walikuwa wanakutana dodoma!! ney wa mitego akiimba makahaba wa bongo move munamponda sana sasa wenyewe wanaumbuana!

ney yeye mwenyewe ni kahaba,aliwasema vibaya ni vile alitoswa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom