anaishi masaki kwenye li apartment opposite na libangalo langu.
Hongera ms msoffe kwa kujifungua.
honey tunatengeneza lini wa kwetu?
dah bado hajapewa jinanmekuuliza dogo anaitwa nani?
jamani! Au ni ule usemi usemao ng'ombe hazeeki maini?
mpe hongera nyingi sana mungu awalinde mama na mtoto
dah bado hajapewa jina
dah bado hajapewa jina
Na kiumbe chetu kina siku ngapi? Bado kidogo na sisi tupewe pongezi hapa JF!Hongera zake,ashukuriwe mungu kwa hilo!