Flora Msoffe amejifungua

Wife acha basi mzaha,
jukwaa likajua bado hatujatengeneza kabisa ?
Mimi nalifahamisha jukwaa tulishatengeneza wetu, kabla ya siku ya kiapo! Na kilichosababisha iwe hivyo ni ule msimu wa baridi.
Maadamu sina taarifa yeyote ya labda ulipata Miscarriage, so far mi nasubiri mwanangu.
Kama ulifanya utundu ukamtohoa nambie , nianzishe michemko mipya .
Hebu nikumbushe hako katumbo kana moon wa ngapi sasa ?

mmmh! Haya njo chumbani tupange malezi.
 
A Baby Girl is a Blessing , A Gift from Heaven above, A Precious Little Angel , To Cherish and to Love!
May your precious little baby girl, fill your lives with happy days;
In so many new and special countless little ways!
 
umepata birthday-mate!...hongereni sana!
yani we acha tu, unajua alhamis nilienda kumsalimia Flora wakati najiandaa kuondoka ikabast tair ya gari ilikua inajazwa upepo jirani kbs na tulipokua tumesimama, nikashtuka sana badae nikawasha gari kurudi kwangu, nilipofika tu km dakika 5 nikaanza kujiskia vibaya nikakibizwa KCMC nikalazwa, j. Mosi Flora akaja kunisalimia tukawa tunapiga stori ghafla akaanza kuumwa na jumapili tar18.3 ambapo ilikua ni birthday yangu Flora akajifungua, NAJISKIA FURAHA SANA.
 
Hongera sana Dada Msofe, Mungu Akupe Afya njema na kumkuza mtoto wetu kwaajili ya sifa na utukufu wake Mungu mwenyewe
 
warning:
wote mnaochakachua thread muhimu ya kumpongeza mzazi,nyie kina Canta,Judgement,Husn,Kongosho,Kaba na genge lenu nitawapiga PI!
 
hongera fm kwa kuleta kiumbe kipya hapa duniani. Hongera am dada yako kujifungua salama.

du kama friquency za radio vile! Hongera flora kwa kujifungua salama, ahsante angel kwa taarifa! Pongeza jf kwa kutuunganisha although hatujuani!
 
Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.

Mpe Hongera zake na ujumbe huu "SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE"
 
Back
Top Bottom