As long as ni smart TV chukuwa.. Samsung Oled yake inasaturation kubwa inafanya colours ziwe na muonekano mzuri sana utainenjoy na cha pili pia Samsung wana service centre zao Tanzania nzima so ukipata tatizo huto anagaika. Samsung ndio chaguo zuri kwakoHabarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.
Habarini wadau.

Mmejaribu brand nyingine?Hata mimi naikubali sana sony sio siri
Za waganga wa jadiHabarini wadau.